Huwa wanasema vyanzo vya mapato na kiasi cha pesa kilichopatikana. Na matumizi wanasema e.g safari, mishahara, posho na kiasi chake kwa kila item in generalUlitaka kila item kwenye Financial Statement isomwe pale kwenye mkutano sio?.
Hata Kama ingesomwa kila item isingeweza kutoa details za kutosha labda wangesoma na GENERAL LEDGER ili ujue tarehe Saba mwezi wa nane tumenunua kalamu mbili kwa matumizi ya CEO, tarehe 31/3 bank change shilingi Mia mbili , tarehe ...soda Fanta chupa tatu za wageni waliotembelea klabu, n.k
MBUMBUMBU acheni wivu....mmepigwa na ponjoroukilinganisha na matumizi kwenye hizi club milioni 500 bado sio faida ya kujivunia, ila kwasababu Yanga ni mambwiga mnaona ni big issue.
Kwanza utuambie hiyo report imekuwa audited na Auditing Firm gani ili tujue credibility ya hiyo report. Kama Auditors ni PWC,KPMG,Ernest & Young au Delloite na auditing firms za caliber hiyo nitakuelewa.Vinginevyo msituletee blah blah za figures za kutengenezwa na kina Mfikirwa mkaishia kuwadanganya watu.Nimetazama report ya mapato na matumizi ya klabu ya Yanga SC kwa msimu uliopita.
Yanga sc imeteangaza Kupata Faida ya million 581 katika msimu ulioisha 2022/23 .
Mapato Billion 17.8
Matumizi ni billion 17.3
BAKIO ni 581.
Ndugu zetu Simba wanakwama wapi katika kupiga hatua kama sisi.
Upi ushauri unao wafaa ili waweze kufika level zetu kifedha.?
Siasa na ushabiki naomba tuuweke pembeni,katika mapato waliyoingiza Yanga ya bilioni 17.8 ndani yake kuna mkpo wa bilioni 4 walizokopa,tafuta mhasibu akuambie ukweli uliopo walioufanya Yanga,Kiufupi Yanga wamepata hasara ya bilioni 3.5 akili za kuambiwa changanya na zakoNimetazama report ya mapato na matumizi ya klabu ya Yanga SC kwa msimu uliopita.
Yanga sc imeteangaza Kupata Faida ya million 581 katika msimu ulioisha 2022/23 .
Mapato Billion 17.8
Matumizi ni billion 17.3
BAKIO ni 581.
Ndugu zetu Simba wanakwama wapi katika kupiga hatua kama sisi.
Upi ushauri unao wafaa ili waweze kufika level zetu kifedha.?