Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Leta taarifa kwa hiyo unataka nikuamin kwa maneno matupu masuala ya mauzo ya jezi yanatoka wapiNikikupa hiyo taarifa rasmi itabadili nini? Mbona hapa tunajadili taarifa rasmi lakini bado mnasema "tuache ubishi". Wewe unaamini Yanga inastahili kupata mapato ya 300M kwa mauzo ya jezi ya msimu mzima? Hiyo ni taarifa rasmi.
Point ni kwamba wewe ni muongo ndo maana umeshindwa kuleta uthibitisho
na hilo swala la jezi million 300 ni kweli yanga wanaweza wakawa wanaibiwa ila nimkataba walisaini ukiisha wakisain mwingine wataongeza dau