Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Unajiona mjuaji wakati hujui kitu! Unajua tofauti ya Yanga au Simba na club hizo za ulaya uzisemazo?Hata ulaya kamwe huwezi pewa financial statements wanasemaga wamepata faida au hasara kiasi gani
Kuwa unapenda kufuatilia mpira na sio kuwa zwazwa
Au tofauti ya Simba/Yanga na club kama Azam au Singida Big stars?
Hizo Kariakoo clubs ni mali za wanachama (public) wakati hizo za ulaya au Azam/SBS zina wamiliki binafsi hakuna haja ya kutangaza hadharani hesabu zake.