Katkit
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 1,893
- 4,641
walikokopa hyo bil 4YANGA wanadaiwa na nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
walikokopa hyo bil 4YANGA wanadaiwa na nani?
Kwenye report kuna mkopo kama mapatoYANGA wanadaiwa na nani?
Ok, kama hilo umelielewa basi they are supposed to table completely financial audited reports badala ya kusema mapato ni X matumizi ni Y tumabaki na faida Z.Accruals are earned revenues and incurred expenses that have yet to be received or paid.
So why do you assume that the club has only incurred expenses which are yet to be paid but doesnt have earned revenue that are yet to be reflected into the clubs' accounts?
Dr of PhD, hivi MO alisema Simba ndio inapata hasara au yeye ndio anapata hasara katika uwekezaji wake Simba?
Nadhani ukilichukua hilo na kulipima ndio utamuelewa MO vizuri.
MO kama mwekezaji na Simba Sports Club ni two different entities
Wazee wa CPA kazi kwenu pambaneni hapo.😀😀Accruals are earned revenues and incurred expenses that have yet to be received or paid.
So why do you assume that the club has only incurred expenses which are yet to be paid but doesnt have earned revenue that are yet to be reflected into the clubs' accounts?
Una uhakika vunja bei ametoa hiyo pesaKatika hayo mapato ya 17bn kuna 4.8bn mkopo ambao hauna maelezo pia ni sehemu ya hayo mapato, interesting zaidi ni kuwa GSM ametoa 330m tu kama faida ya jezi wakati Vunjabei amewapa Simba 1bn. Yanga na Hersi kuna uhuni mwingi, muda utasema ukweli.
Hiyo Ni simple analysis wametoa ukumbuke mashabiki na wa wanachama sio wajuzi wa financial report but naamini ukienda in detail financial statement itakuwa imeonyesha vitu vyote hivyo,hivi unaona ni sahihi hapo ukawaambia Wanachama Mambo ya prepaid rent or accrual expenditureYanga kama taasisi haiwezi kukosa madeni (accruals) kama vile TRA, Land rents nk.
Ndio maana nasema kuna walakini, huo ni mfumo wa hesabu za genge la mama ntilie yaani unahesabu umepata ngapi umetumia ngapi baki ni faida.
Hayo madai ya Yanga Princes ni ya mitandaoni ni wapi umeyaona official?Bado iko kienyeji sana hivyo sio hesabu sahihi hizo.
Huwezi kutaja Mapato kutoa matumizi na kusema kilichobaki ni faida.
Madeni jee? Tunaambiwa wachezaji wa Yanga Princess hadi leo wanadai posho zao na hata nauli baada ya kumaliza mikataba yao na msimu kufungwa tokea May 17 hadi leo wanasota kiasi cha kutaka kuandamana. Bado utasema wana faida?
Mkutano mkuu wa club kubwa kama Yanga unatoa hesabu very shallow kama hivyo?
Nimewasifu Yanga kwa uwazi wao.Kitu muhimu angalau uwazi wa mapato na matumizi tumeuona, ni mwanzo mzuri.
Hii itawafunga mdomo wote wanaojifanya kupata hasara wakati makampuni yao yanafaidika pakubwa na brand.
Tuonyeshe ya simba ata iyo 500 waliyopata faida? Mambwiga namba moja ni simba kwa maana unamcheka mwenye nacho wakati wewe ata kidogo auna!ukilinganisha na matumizi kwenye hizi club milioni 500 bado sio faida ya kujivunia, ila kwasababu Yanga ni mambwiga mnaona ni big issue.
Kwa hesabu hizi za yanga utauziwa nyumba na bank😂😂😂Nimetazama report ya mapato na matumizi ya klabu ya Yanga SC kwa msimu uliopita.
Yanga sc imeteangaza Kupata Faida ya million 581 katika msimu ulioisha 2022/23 .
Mapato Billion 17.8
Matumizi ni billion 17.3
BAKIO ni 581.
Ndugu zetu Simba wanakwama wapi katika kupiga hatua kama sisi.
Upi ushauri unao wafaa ili waweze kufika level zetu kifedha.?
Kuna namna huwa inatumiwa na wafanyabiashara, sema tu nikikuambia hapa Yanga nao watajua na wataanza kuiga kusema wamepata hasaraSwala la msingi ni FAIDA na HASARA.
Madeni yote yameorodheshwa ndani ya matumizi acha ujuaji wa kipuuziYanga kama taasisi haiwezi kukosa madeni (accruals) kama vile TRA, Land rents nk.
Ndio maana nasema kuna walakini, huo ni mfumo wa hesabu za genge la mama ntilie yaani unahesabu umepata ngapi umetumia ngapi baki ni faida.
umeandika utopolo gani sasa huu.Tuonyeshe ya simba ata iyo 500 waliyopata faida? Mambwiga namba moja ni simba kwa maana unamcheka mwenye nacho wakati wewe ata kidogo auna!
Walikuandikia barua official kwamba wanadai? Au unatuletea habari zenu za udaku udaku za kwenye mitandao uko? Leta ushahidi wako hapa unaoonyesha yanga princes wanadai!Bado iko kienyeji sana hivyo sio hesabu sahihi hizo.
Huwezi kutaja Mapato kutoa matumizi na kusema kilichobaki ni faida.
Madeni jee? Tunaambiwa wachezaji wa Yanga Princess hadi leo wanadai posho zao na hata nauli baada ya kumaliza mikataba yao na msimu kufungwa tokea May 17 hadi leo wanasota kiasi cha ĺndaokutaka kuandamana. Bado utasema wana faida?
Mkutano mkuu wa club kubwa kama Yanga unatoa hesabu very shallow kama hivyo?
Mbona sijaona malipo ya deni la Luc Eymael aka mzee wa manyani na ma mbwa?Yanga sc imeteangaza Kupata Faida ya million 581 katika msimu ulioisha 2022/23
Nyinyi uto kocha Luc mmemlipa? Uto sio ya kuiwekea dhamana kuhusu madeni haijaanza Leo kudaiwa.Walikuandikia barua official kwamba wanadai? Au unatuletea habari zenu za udaku udaku za kwenye mitandao uko? Leta ushahidi wako hapa unaoonyesha yanga princes wanadai!
Hizo assumptions hazipo.Ok, kama hilo umelielewa basi they are supposed to table completely financial audited reports badala ya kusema mapato ni X matumizi ni Y tumabaki na faida Z.
Jee hiyo Z ni gross profit au net profit?
Anyway, bado ni hatua nzuri sina ubishi nayo. Tatizo liko kwenye kuhoji wengine wasemapo wamepata hasara.
Ila kwa vile Yanga ni club ya umma natumaini watakwenda extra mile na kuweka hadharani statements of accounts
Yanga sio ya mjomba yako punguza ushabiki maandaziMadeni yote yameorodheshwa ndani ya matumizi acha ujuaji wa kipuuzi