This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Unalinganisha Yanga na Mo !!Nimetazama report ya mapato na matumizi ya klabu ya Yanga SC kwa msimu uliopita.
Yanga sc imeteangaza Kupata Faida ya million 581 katika msimu ulioisha 2022/23 .
Mapato Billion 17.8
Matumizi ni billion 17.3
BAKIO ni 581.
Ndugu zetu Simba wanakwama wapi katika kupiga hatua kama sisi.
Upi ushauri unao wafaa ili waweze kufika level zetu kifedha.?
Au unapaswa kuilinganisha Yanga na Simba,, Mo na GSM.
Kilichosomwa na Yanga leo Ni taarifa za klabu ya Yanga si taarifa ya mwekezaji.
Kuna Simba Kama timu halafu Kuna Mo km mwekezaji na hesabu zake.
Hiyo milioni 500 si hela za GSM. Ni hela za timu. GSM anaweza kupata hasara lkn Yanga ikatengeneza faida.
Mwekezaji akipata hasara siyo kwamba timu Ndiyo imepata hasara. Hapana.