Kwanini MO Dewji anataka kufunga kiwanda chake cha chai Nchini Tanzania? Bashe amgomea!

Kama ni kwa ajili ya kodi kuwa kubwa basi ana haki ya kufunga, so, ni ngumu kuendelea kurun kiwanda kwa hasara kisa waajiriwa watakosa kula.
 
Kuna mengi watu walisemansubiri utaona jibu na mpakamleo hayajapata majibu.

Kusubiri si guarantee ya kupata jibu.

Inawezekana pia unatakiwa kutafuta jibu, hutakiwi kusubiri ili ulipate jibu.
Sema ni kipindi cha Kwaresma vinginevyo ungepata matokeo mabaya sn
 
Afunge tuu, TRA wanavurugu sana.
 
ila mo kwa kudeka tushamzoea, hata huko simba hulalamika kila siku na kutishia kujitoa pale anapokutana na vikwazo, naona ndio style yake ya kutuma ujumbe pale matakwa yake yasipofuatwa, serikali ikae nae chini iangalie nani anamsumbua tajiri, ashughulikiwe maisha yaendelee. muda ameajiri watu wengi, huo mzigo serikali haiwez kuupokea, lbda apewe dp wedi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…