Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umagufulizim ndio tatizoKama naanza kusikia kijiharufu fulani
Mkuu hizi ni sanaa. Hivi MO hamjamjua mpaka sasa? Jamaa ni msanii mzuri sana kwenye kutafuta fedha. Kuna kitu kinapangwa hapa. Hivi mhindi ni mtu wa kuomba serikali kama anataka kufunga biashara yake? Watu wanaandaa mazingira ya kufanya kupiga fedha ndefu sana hapa. Hii awamu ndiyo itakuwa mama wa ufisadi na mafisadi wataibuka kila kona.Kama naanza kusikia kijiharufu fulani
Shikamoo mkuu (japo unaweza kuwa mdogo wangu). Wewe ndiye uliyeona mchezo unaotaka kuandaliwa na huyu msanii tajiri MO na Bashe.kuna mbinu imebuniwa ya kodi kukwepwa...🤣🤣🤣🤣
Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na Serikali kwanza kabla hajachukua uamuzi huo, ambao unatarajiwa kuathiri watu wengi wanaofanya kazi kwenye kiwanda hicho.
Lakini swali letu ni hili, kwanini MO amefikia hatua ya kufunga kiwanda chake alichojenga kwa gharama kubwa na kufunga mitambo ya kisasa? Kuna nini?
Swali jingine ni hili, kwanini jambo hili lishughulikiwe na Wizara ya kilimo badala ya Wizara ya Viwanda?
======
Serikali imegoma kuridhia ombi la kufungwa kwa Kiwanda cha chai cha Mo Enterprises na Viwanda vingine kadhaa Nchini ili kuepusha athari ikiwemo Watu kupoteza ajira.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe akiwa Dodoma leo, amesema kama Wawekezaji wana changamoto yupo tayari kujadiliana nao ili kuzitatua huku viwanda vikiwa vinaendelea na uzalishaji.
“Nimepokea barua ya kampuni ya Mohamed Enterprise kutaka kufunga Viwanda nimewaambia hawawezi kufunga viwanda, tujadiliane njia nyingine lakini sio kufunga kwasababu kwetu bado sekta ya chai bado ni muhimu kwa ajira za Watu, binafsi naamini nikienda Rungwe kama Wakulima wangekuwa hawana mazao mengine umasikini ungekuwa mkubwa mno kwa hali ya chai ilivyo, Lupembe, Mafinga, Mufindi kote hali ingekuwa mbaya”
“Nimepokea maombi ya MO kuja kwetu Serikali kwamba Serikali tuyachukue mashamba (ili kuyaendeleza) tutaunda Timu itaenda kuyakagua tutaangalia thamani halisi ya wakati huu kwasababu hayakutunzwa vizuri mashamba wala vile Viwanda kwa muda mrefu sana kwahiyo tutaangalia njia zote lakini sekta ya chai itaendelea kuwa hai, nimeagiza hakuna kufunga kiwanda lazima waendeele na uzalishaji hilo ni la lazima kisha tutakaa chini kujadiliana mambo mengine”
“Nawahakikishia ninaendelea na majidiliano na Wizara ya Fedha ili tuwe na njia bora kupima viwango vya tozo, nimeongea na Waziri wa Uwekezaji ili hivi viwanda vipate nafuu ya kodi ya kuagiza nje kwasababu kama tunampa Mtu wa Export sehemu nafuu ya kodi, ukitazama sekta ya chai kwa ujumla bidhaa zake zinahusisha kusafirisha nje”
“Nimekaa na Timu ya Wataalamu imenifanyia uchambuzi wa bei ya majani mabichi ya chai, kwa namba inatakiwa bei ishuke lakini nimewaambia bei ya Mkulima haitoshuka tuta-mantain bei ya mwaka jana” —— amesema Waziri wa Kilimo
Tsngu aseme anaiendesha simba kwa hasara.sijawahi kumkubali tena.unapata hasara bado upo hapo hapo?Aende gsm apewe na bakresa

Katika muktadha huu, wote.Watanzania au wakulima?
Kuwa na mwekazaji kama dewji ni hasara kubwa kwa taifa ni mjanja mjanja mjanja sanaKwa vile hujui alinunua viwanda vingapi akaviunganisha kwenye bishara zilziokuwa za baba yake. Unasamehewa!
Huelewi viwanda vilivyokuwa vinaitwa Polytex, Magunia, National Milling na vinginevyo vidgo vidgo viliishia
Inawezekana kabisa haswa Biashara kubwa inayoguswa uchumi wa wananchi wengiKwa hiyo mtu anaweza kulazimishwa kuendesha viwanda hata kama yeye anataka kufunga viwanda vyake?
Mkuu,Katika muktadha huu, wote.
Huyu Mo anatafuta njia apendelewe.
Bashe naye ni mjanja, anatafuta nguvu ya Umma.
Mitafaruku hii, sikuwahi kusikia wakati Reginald Mengi akiwa katika nafasi ambayo MO yumo sasahivi.
Ana nyodo.
Kwangu mimi hii habari ni alama ya inefficiency katika uchumi. Kwenye habari, kutangaza fursa, kwenye mifumo ya kodi, kwenye falsafa, corruption, kuna sehemu kuna inefficiency kubwa.Inawezekana kabisa haswa Biashara kubwa inayoguswa uchumi wa wananchi wengi
Wanaweza kumzuia kwa muda Fulani serikali ikitafuta njia nzuri ya kuhandle hasara ya wananchi wake
Unadhani kwanini alitoa ombi rasmi la kufunga kiwanda chake
Kwanini asingefunga tu bila taarifa
Hata kampuni kufunga Ina mchakato mrefu Sana INGAwa ni ya kwako mwenyewe
OhoòoooKwangu mimi hii habari ni alama ya inefficiency katika uchumi. Kwenye habari, kutangaza fursa, kwenye mifumo ya kodi, kwenye falsafa, corruption, kuna sehemu kuna inefficiency kubwa.
Otherwise hata kwenye supposedly quasi-free market yetu, ilitakiwa Mo aweze kusema sitaki biashara hii naiuza, na watu wa kuinunua wawepo wengi. Wa nje na ndani.
Na kama serikali inahofia wananchi kukosa kazi, kukosa soko etc, hata kwenye mfumo wa serikali ku support critical industries, local production, basic justifiable protectionism etc, tulitakiwa tuweze kuwa na wafanyabiashara kadhaa wakubwa wa ku step in anapokataa Mo, au hata kuwezesha hao wananchi kuwa na co-ops.
Naona kama tunatengeneza a few oligarchs ambao wanakuwa "too big to fail", halafu, wananunua viwanda kutoka serikalini on the cheap, wakitengeneza faida inakuwa yao, wakipata hasara wanapata bailout/tax breaks/ wanabembelezwa etc, na pengine hawakutaka hata kufanya biashara, walitaka kutumia viwanda na mashamba kama collateral na kama njia za kupata subsidies.
Mo naona kama anachanganya on one hand oligarchs wa Russia walivyofanya baada ya USSR kusambaratika na mashirika ya umma kuuzwa on the cheap, na on another hand, wakulima wakubwa wa Marekani wanavyotumia ardhi na viwanda kama strategy ya kupata subsidies za serikali na collateral ya mikopo.
Ikiwa niko sahihi, kumbembeleza mtu kama huyo ni hatari. He is just gamind the system. Hana nia ya kufanya hiyo biashara.
Mtambembeleza leo na kumpa bailout, kesho atawafanyia sabotage kufunga biashara kwa njia ambayo hamuwezi kumlaumu.
Anaishia kula pesa zenu na biashara anafunga vile vile.
Ni mfumo wa kishenzi sana , kote huko ilipofanyika hii kitu imeishia kutengeneza mzigo mkubwa wa kodi kwa wananchi na kutajirisha mabwanyenye wachache ambao wanahodhi uchumi na kuongeza wealth gap Kati ya wasio nacho na wenye nachoKwangu mimi hii habari ni alama ya inefficiency katika uchumi. Kwenye habari, kutangaza fursa, kwenye mifumo ya kodi, kwenye falsafa, corruption, kuna sehemu kuna inefficiency kubwa.
Otherwise hata kwenye supposedly quasi-free market yetu, ilitakiwa Mo aweze kusema sitaki biashara hii naiuza, na watu wa kuinunua wawepo wengi. Wa nje na ndani.
Na kama serikali inahofia wananchi kukosa kazi, kukosa soko etc, hata kwenye mfumo wa serikali ku support critical industries, local production, basic justifiable protectionism etc, tulitakiwa tuweze kuwa na wafanyabiashara kadhaa wakubwa wa ku step in anapokataa Mo, au hata kuwezesha hao wananchi kuwa na co-ops.
Naona kama tunatengeneza a few oligarchs ambao wanakuwa "too big to fail", halafu, wananunua viwanda kutoka serikalini on the cheap, wakitengeneza faida inakuwa yao, wakipata hasara wanapata bailout/tax breaks/ wanabembelezwa etc, na pengine hawakutaka hata kufanya biashara, walitaka kutumia viwanda na mashamba kama collateral na kama njia za kupata subsidies.
Mo naona kama anachanganya on one hand oligarchs wa Russia walivyofanya baada ya USSR kusambaratika na mashirika ya umma kuuzwa on the cheap, na on another hand, wakulima wakubwa wa Marekani wanavyotumia ardhi na viwanda kama strategy ya kupata subsidies za serikali na collateral ya mikopo.
Ikiwa niko sahihi, kumbembeleza mtu kama huyo ni hatari. He is just gamind the system. Hana nia ya kufanya hiyo biashara.
Mtambembeleza leo na kumpa bailout, kesho atawafanyia sabotage kufunga biashara kwa njia ambayo hamuwezi kumlaumu.
Anaishia kula pesa zenu na biashara anafunga vile vile.
We jamaa huwa unaninukuu halafu unaweka kineno kimoja tu kama "Daaah" au "Ohooo".Ohoòooo
Sasa wafanyeje zaidi wamuue kwa High Blood Pressure? Mali kachuma humo humo CCM, leo anataka kuwakimbia, watamkata visigino.Hili tu ndio nchi masikini wanaliweza