johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa.......!Kwani ni kombe la Moo?
Wanasimba acheni kutegemea vya bure.
umefuatlia historia ya Gatibu, huyo wa uto, yeye nae fedha ni za marehemu Baba yake, Manji pia ni utajiri toka kwa Baba yake.Jamaa bahili sana uyo, mchumi mno hawezi toa kitonga chochote
Kwanza uwanja wa bunju umefikia hatua gani?
Kwa vile wewe unakula ugali wa shikamoo kwa shemeji yako basi akili yako inakutuma kufikiria wote tunakaa kwa mashemeji kama wewe?umefuatlia historia ya Gatibu, huyo wa uto, yeye nae fedha ni za marehemu Baba yake, Manji pia ni utajiri toka kwa Baba yake.
Wenzetu Weupe siyo kama wewe, wewe hata utakachokula kesho hujui hela utapataje, kama siyo kwa shemeji yako, ila nguvu ya kumnanga mtu ambae kwako wewe ni kitone yeye ni Bahari.
Kama ni rahisi nawe ridhi mali za babayako utambe.
Watu kama wewe ndiyo, unamuona mtu na ndinga yake, unaanza maneno gari ya mkopo ile kama ni rahisi gari ya mkopo na kopa basi.
Bilioni 21 pluss vihela vyamboga bado mnataka atoe tena pesa mfukoni aloooh binadamu aridhiki sasa mtu hadi elfu tatu unataka ulipiwe wewe ni shabiki au maandaziNaona klabu ya Simba inahangaika sana kushawishi mashabiki wakaujaze uwanja siku ya sikukuu
Mo amuige Manji awajaze yeye mwenyewe mashabiki uwanjani.
Simple tu.
Pasaka njema!
Yeye anataka kujaza uwanja.Bilioni 21 pluss vihela vyamboga bado mnataka atoe tena pesa mfukoni aloooh binadamu aridhiki sasa mtu hadi elfu tatu unataka ulipiwe wewe ni shabiki au maandazi
Hahahaaaa........waswahili hamkosi sababu!Manji hadi leo hajailipa ile pesa ya kuwaingiza washabiki Bure.
Tajiri huwa anatoa pesa kwa mipango maalum.
Kutangaza kiingilio bure ni kuleta usumbufu na kuhatarisha maisha ya watu.
Ile siku ya bure ya Manji hali ya usalama ilivunjika kabisa