Kwanini Mo Dewji asiwaingize bure uwanjani mashabiki wa Simba kama alivyofanya Manji?

Kwanini Mo Dewji asiwaingize bure uwanjani mashabiki wa Simba kama alivyofanya Manji?

Akisema moo aingize bure mashabiki wa Simba litakuwa kosa kubwa sn.


Wataingia utopolo watupu uwanjani .[emoji3][emoji3]

duu
img_1_1649482398349.jpg
 
Usipende vya bure wewe uto utaliwa huo mnduku siku moja
 
Ngoja tukujibu vizuri:-
Kifupi Manji hakuwa mtu wa mpira ni limbukeni wa mpira ndio maana akafanya hivyo kuingiza watu bure kilumba pamoja na taifa halafu akaja kuiacha timu ikiwa omba omba wa angelikuwa na akili ya mpira hiyo Hela ya kuingiza watu bure angeweka kwenye club na bado angechukua viingilio pia akainvest kwenye club.

Figisu alizofanyiwa Manji na Yanga yake ulikuwa kwenye comma?
 
Sisi Mashabiki, wanachama na wapenzi wa Simba sio maskini mpaka tulipiwe.
 
Back
Top Bottom