johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Wewe unawaogopa Utopolo?Akisema moo aingize bure mashabiki wa Simba litakuwa kosa kubwa sn.
Wataingia utopolo watupu uwanjani .[emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unawaogopa Utopolo?Akisema moo aingize bure mashabiki wa Simba litakuwa kosa kubwa sn.
Wataingia utopolo watupu uwanjani .[emoji3][emoji3]
Ya wanachama gani?Simba ya wanachama, waingizwe bure na Nani? Yaani mali yao wenyewe wafanyiwe hisani? Huo Ni ufinyu wa fikira.
Yule white angetamani pia kufanya kama Ahmed, shida ni kwamba hawezi kukaa juani.Binadamu hawana jema,Ahmed Ally kaja na mbinu ya kuwaweka karibu mashabiki wa simba na kuamsha hamasa lakini mshaanza kusema..angekaa kimya pia mngesema na mkaanza kumfananisha na yule white..
Ticket 3000 bado unataka kitonga gani? Huu umasikini wenu unawatia sana stress.Jamaa bahili sana uyo, mchumi mno hawezi toa kitonga chochote
Kwanza uwanja wa bunju umefikia hatua gani?
We subiri boom tu, unapata wapi nguvu ya kuzungumzia maswala ya kipesa?Wàhindi ni bahiri sana
Sijui umeandika nini, lakini hapo kwenye Simba kuacha kutegemea vya bure embu anzeni kwa msimu ujao kufanya usajili nyie wenyewe pasipo Moo kutoa pesa zake. Lipeni mishahara nyie wenyewee kwanzia kwa benchi la ufundi mpaka wachezaji.Kwani ni kombe la Moo?
Wanasimba acheni kutegemea vya bure.
Mkuu, subiri kupopolewa mawe kwa sana.Jamaa bahili sana uyo, mchumi mno hawezi toa kitonga chochote
Kwanza uwanja wa bunju umefikia hatua gani?
Mashabiki wa Simba siyo malofa. Tutaujaza uwanja kwa hela zetuNaona klabu ya Simba inahangaika sana kushawishi mashabiki wakaujaze uwanja siku ya sikukuu
Mo amuige Manji awajaze yeye mwenyewe mashabiki uwanjani.
Simple tu.
Pasaka njema!
Kwani huyo mtopolo aliyeleta huu uzi hujui kuwa ni nyani mwenzako wa Utopolo?Kwani ni kombe la Moo?
Wanasimba acheni kutegemea vya bure.
Logic ya kuiga ni nn 🤔🤔🤔Naona klabu ya Simba inahangaika sana kushawishi mashabiki wakaujaze uwanja siku ya sikukuu
Mo amuige Manji awajaze yeye mwenyewe mashabiki uwanjani.
Simple tu.
Pasaka njema!
Kuna sehemu umeona nataka kitonga?Ticket 3000 bado unataka kitonga gani? Huu umasikini wenu unawatia sana stress.
Watajua wenyeweMkuu, subiri kupopolewa mawe kwa sana.
Ule tuliopewa bure na Makonda?Kwanza uwanja wa bunju umefikia hatua gani?
Si unataka kuingizwa bure, na umesema mwenyewe!Kuna sehemu umeona nataka kitonga?
Wadada wa mjini wanasema hata kuhonga hatoi zaidi ya laki moja.Fedha siyo zake ni mali ya Ukoo. Athubutu aone .....
Ule unaopigishwa doneiUle tuliopewa bure na Makonda?
Unajua kusoma? au ndo nyie mnaenda shule kusomea ujingaSi unataka kuingizwa bure, na umesema mwenyewe!