Kwanini Mo Dewji asiwaingize bure uwanjani mashabiki wa Simba kama alivyofanya Manji?

Kwanini Mo Dewji asiwaingize bure uwanjani mashabiki wa Simba kama alivyofanya Manji?

Ngoja tukujibu vizuri:-
Kifupi Manji hakuwa mtu wa mpira ni limbukeni wa mpira ndio maana akafanya hivyo kuingiza watu bure kilumba pamoja na taifa halafu akaja kuiacha timu ikiwa omba omba wa angelikuwa na akili ya mpira hiyo Hela ya kuingiza watu bure angeweka kwenye club na bado angechukua viingilio pia akainvest kwenye club.
Mo anachofanyabni kujenga mifumo imara ya Simba ili hata ikijakutokea hatupo Simba iweze kujiendesha yenyewe ikiwemo na kujenga tabia kwa mashabiki kuchangia mambo ya club ikiwa pamoja na kulipa viingilio.
Sasa ukisema uingize watu bure ubawajengea mashabiki kupenda vitu vya bure bure
 
Binadamu hawana jema,Ahmed Ally kaja na mbinu ya kuwaweka karibu mashabiki wa simba na kuamsha hamasa lakini mshaanza kusema..angekaa kimya pia mngesema na mkaanza kumfananisha na yule white..
Yule white angetamani pia kufanya kama Ahmed, shida ni kwamba hawezi kukaa juani.
 
Kwani ni kombe la Moo?
Wanasimba acheni kutegemea vya bure.
Sijui umeandika nini, lakini hapo kwenye Simba kuacha kutegemea vya bure embu anzeni kwa msimu ujao kufanya usajili nyie wenyewe pasipo Moo kutoa pesa zake. Lipeni mishahara nyie wenyewee kwanzia kwa benchi la ufundi mpaka wachezaji.

Halafu hivi zile ela zilizopatikana kwenye CAF champions league na mauzo ya Luis na Chama, kuna mwanasimba yeyote aliyenufaika nazo zaidi ya moo?
 
Naona klabu ya Simba inahangaika sana kushawishi mashabiki wakaujaze uwanja siku ya sikukuu

Mo amuige Manji awajaze yeye mwenyewe mashabiki uwanjani.

Simple tu.

Pasaka njema!
Mashabiki wa Simba siyo malofa. Tutaujaza uwanja kwa hela zetu
 
Naona klabu ya Simba inahangaika sana kushawishi mashabiki wakaujaze uwanja siku ya sikukuu

Mo amuige Manji awajaze yeye mwenyewe mashabiki uwanjani.

Simple tu.

Pasaka njema!
Logic ya kuiga ni nn 🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom