Kama Boss Pascal Mayalla kuonga Mkono Hoja ,je ? Mimi ni nani nisiunge mkono Hoja?Naunga mkono hoja.
P
ndungu Mtua hoja naunga mkono na miguu hoja yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Boss Pascal Mayalla kuonga Mkono Hoja ,je ? Mimi ni nani nisiunge mkono Hoja?Naunga mkono hoja.
P
njia ni nyeupe mwambie Safari njema .Simba ipo kabla MO mama yake ajaliwaTayari Mo ametishia kuondoka Simba
Kitu nilichojifunza na kugundua watanzania wengi kama siyo wote ni wajinga,wapumbavu hawapendi mafanikio ukisikiliza press ya manara utagundua jamaa anapigania maslahi yake lakini Kwa kuharibu maslahi ya wengine ajabu hili lipo Tanzania tu,hivi kabla ya hayo yote manara alikua wapi?Mimi ni mmoja wa watu ninaokubali kabisa kuwa Manara alikuwa 'very unprofessional' mara nyingi sana..
Na hata hiyo nafasi nimewahi Shauri Sana atolewe ..yeye na Jerry Muro niliwahi shauri watolewe wote huko nyuma..
Mkuu,vipi kuhusu Manara kuambiwa kua anaihujumu Simba?Kitu nilichojifunza na kugundua watanzania wengi kama siyo wote ni wajinga,wapumbavu hawapendi mafanikio ukisikiliza press ya manara utagundua jamaa anapigania maslahi yake lakini Kwa kuharibu maslahi ya wengine ajabu hili lipo...
Angalia press yake alafu rudi kwenye page zake za mitandaoni kisha mtazame mwenyewe utagundua alikua anahujumu team yake either Kwa kujua mwenyewe au kutokujuaMkuu,vipi kuhusu Manara kuambiwa kua anaihujumu Simba?
Unadhani hapo yeye Haji hakua anachafuliwa?
Hii imekaaje kwa wewe ambaye sio mpumbavu na sio mjinga?
Acha kuongea kwa muhemko.Kitu nilichojifunza na kugundua watanzania wengi kama siyo wote ni wajinga,wapumbavu hawapendi mafanikio ukisikiliza press ya manara utagundua jamaa anapigania maslahi yake lakini Kwa kuharibu maslahi ya wengine ajabu hili lipo Tanzania tu,hivi kabla ya hayo yote manara alikua wapi?!!..hivi manara anaweza kufikia uwezo wa Mo,hivi manara kweli ana umaarufu kumshinda Mo, kweli Manara ndio chanzo cha mafanikio ya Simba, lakini kwasababu watanzania tuko hivi ndio desturi zetu hatuna jinsi lazima tumshangilie Manara na kumsiu mtu anaetaka boss wake wazamani aharibikiwe kisa kamfukuza Kazi!!...
Tunapenda matokeo lakini hatutaki kujua matokea haya yametokea aje?!!..miaka 6 bila mkataba kwasababu alitaka mwenyewe unaweza kutafuta kwenye mitandao uone wakati Simba wanatangaza ajira hii alafu utaelewa kwanini Manara alikua anafanya bila mkataba na alikua naoAcha kuongea kwa muhemko.
Uvae Umanara kwanza .. Kwamba miaka Sita huna mkataba...., Figisu kama hizo...
Wewe ambaye umesha angalia yote hayo ndio utuwekee hapo hiyo clear evidence uliyoigundua kua Haji alihujumu team.Angalia press yake alafu rudi kwenye page zake za mitandaoni kisha mtazame mwenyewe utagundua alikua anahujumu team yake either Kwa kujua mwenyewe au kutokujua
Ni sawa na wanaosema..sisi simba, tunataka tu timu ishinde ubingwa[emoji23]... Thaman ya Ubingwa ni ndogo kuliko thaman ya Simba.Tunapenda matokeo lakini hatutaki kujua matokea haya yametokea aje?!!..miaka 6 bila mkataba kwasababu alitaka mwenyewe unaweza kutafuta kwenye mitandao uone wakati Simba wanatangaza ajira hii alafu utaelewa kwanini Manara alikua anafanya bila mkataba na alikua nao
Wakati wa simba mbovu ulimsikia Manara akiwafumbua watu!!Ni sawa na wanaosema..sisi simba, tunataka tu timu ishinde ubingwa... Thaman ya Ubingwa ni ndogo kuliko thaman ya Simba...![]()
Wewe ambaye umesha angalia yote hayo ndio utuwekee hapo hiyo clear evidence uliyoigundua kua Haji alihujumu team.
Yani watu wameona Simba ipo kwenye mafanikio, Manara alidhani mchakato utaishia njiani sasa kapigwa chini na watu tunakula pilau sasa!!.... Manara amemfumbua Nani?Ni sawa na wanaosema..sisi simba, tunataka tu timu ishinde ubingwa[emoji23]... Thaman ya Ubingwa ni ndogo kuliko thaman ya Simba....
Ukishindana na kichaa utaumia wew
Ukishindana na kichaa utaumia wew
Hamuwezi kinyamaza naona Barbra karusha kijembe tayariNdo hatuna muda wa kushindana nae
Aendelee kupambna na hali yake
Unapompa kichaa kazi ya kua msemaji wa taasisi yako,hapo nani anakua kichaa?Na unajua manara ni kichaa yaan mkaze fuvu lazima tumjibu?
Muda utasema nini mbona kigoma nimekuchakaza kimoja tu na mzee wako mpili mmekaa kimya.Bilashaka wewe siyo mdau wa mpira .Wanaojua mpira wanajua kwamba si rahisi kihivyo.Muda utasema hata zile mechi ambazo Simba anacheza na Yanga mlikuwa mnasema lazima mtashinda tena kwa goli nyingi kilichokuwa kinawakuta unakifahamu mpaka mnapoteana na kulaumiana subiri mechi ya Tarehe 25/9 ,mkipigwa kipigo Cha mbwa mwizi huo mvurugano wake utakuwa zaidi ya huo wa Sasa wa vigoli kimoja kimoja mpaka Hindi janja alitishia kujiudhuru na kuacha timu.Tusubiri muda utasema
Furaha ya utopolo ni kuona Mo kaondoka Simba siyo Yanga kubeba kombe.Ukiachwa achika
Hamuwezi kinyamaza naona Barbra karusha kijembe tayari
Watu wa Yanga wamejaa humu kutuficha kinachoendelea Kagame cup na usajili wa kutisha nasikia Engineer kawaambia sasa ni kabla ya mzunguko wa Kwanza wanatangaza ubingwa wakishirilikiana na Mzee MpiliFuraha ya utopolo ni kuona Mo kaondoka Simba siyo Yanga kubeba kombe.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Simba ya sasa na Yanga.
Wale ndugu zetu wameishi kwa tabu sana miaka hii mitano.Watu wa Yanga wamejaa humu kutuficha kinachoendelea Kagame cup na usajili wa kutisha nasikia Engineer kawaambia sasa ni kabla ya mzunguko wa Kwanza wanatangaza ubingwa wakishirilikiana na Mzee Mpili