Kwanini Mo 'hatamuweza'Manara

Mimi ni mmoja wa watu ninaokubali kabisa kuwa Manara alikuwa 'very unprofessional' mara nyingi sana..
Na hata hiyo nafasi nimewahi Shauri Sana atolewe ..yeye na Jerry Muro niliwahi shauri watolewe wote huko nyuma..
Kitu nilichojifunza na kugundua watanzania wengi kama siyo wote ni wajinga,wapumbavu hawapendi mafanikio ukisikiliza press ya manara utagundua jamaa anapigania maslahi yake lakini Kwa kuharibu maslahi ya wengine ajabu hili lipo Tanzania tu,hivi kabla ya hayo yote manara alikua wapi?

Hivi manara anaweza kufikia uwezo wa Mo,hivi manara kweli ana umaarufu kumshinda Mo, kweli Manara ndio chanzo cha mafanikio ya Simba, lakini kwasababu watanzania tuko hivi ndio desturi zetu hatuna jinsi lazima tumshangilie Manara na kumsiu mtu anaetaka boss wake wazamani aharibikiwe kisa kamfukuza Kazi.
 
Kitu nilichojifunza na kugundua watanzania wengi kama siyo wote ni wajinga,wapumbavu hawapendi mafanikio ukisikiliza press ya manara utagundua jamaa anapigania maslahi yake lakini Kwa kuharibu maslahi ya wengine ajabu hili lipo...
Mkuu,vipi kuhusu Manara kuambiwa kua anaihujumu Simba?

Unadhani hapo yeye Haji hakua anachafuliwa?

Hii imekaaje kwa wewe ambaye sio mpumbavu na sio mjinga?
 
Mkuu,vipi kuhusu Manara kuambiwa kua anaihujumu Simba?
Unadhani hapo yeye Haji hakua anachafuliwa?

Hii imekaaje kwa wewe ambaye sio mpumbavu na sio mjinga?
Angalia press yake alafu rudi kwenye page zake za mitandaoni kisha mtazame mwenyewe utagundua alikua anahujumu team yake either Kwa kujua mwenyewe au kutokujua
 
Acha kuongea kwa muhemko.

Uvae Umanara kwanza. Kwamba miaka Sita huna mkataba, Figisu kama hizo.

Utolewe kwa nafasi kwa tuhuma ambazo Ni kuhujumu Timu, kitu cha uongo.

Utakaa kimya?

Manara anachofanya, ni kulinda watu wake yaan mashabiki kwa kuhakikisha kwamba hawaweki Njia panda.
 
Acha kuongea kwa muhemko.

Uvae Umanara kwanza .. Kwamba miaka Sita huna mkataba...., Figisu kama hizo...
Tunapenda matokeo lakini hatutaki kujua matokea haya yametokea aje?!!..miaka 6 bila mkataba kwasababu alitaka mwenyewe unaweza kutafuta kwenye mitandao uone wakati Simba wanatangaza ajira hii alafu utaelewa kwanini Manara alikua anafanya bila mkataba na alikua nao
 
Angalia press yake alafu rudi kwenye page zake za mitandaoni kisha mtazame mwenyewe utagundua alikua anahujumu team yake either Kwa kujua mwenyewe au kutokujua
Wewe ambaye umesha angalia yote hayo ndio utuwekee hapo hiyo clear evidence uliyoigundua kua Haji alihujumu team.
 
Ni sawa na wanaosema..sisi simba, tunataka tu timu ishinde ubingwa[emoji23]... Thaman ya Ubingwa ni ndogo kuliko thaman ya Simba.

Narudia, Manara, ukiachilia mbali kupigania Masilah yake, amewafumbua watu.

Ndio maana siku nzima jana, Mo Anapost wachezaji tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni sawa na wanaosema..sisi simba, tunataka tu timu ishinde ubingwa[emoji23]... Thaman ya Ubingwa ni ndogo kuliko thaman ya Simba....
Yani watu wameona Simba ipo kwenye mafanikio, Manara alidhani mchakato utaishia njiani sasa kapigwa chini na watu tunakula pilau sasa!!.... Manara amemfumbua Nani?

Nani alikua hajui Simba ipo kwenye mchakato Nani alikua hajui Mo bado anaweka fedha yake,Hivi unadhani bila fedha ya Mo hilo bench la ufundi na wachezaji wanataka kuuzwa Hadi b2 ingetokea lini?
 
Muda utasema nini mbona kigoma nimekuchakaza kimoja tu na mzee wako mpili mmekaa kimya.

Umeona uyo mropokaji kayachezea mnqanza kutoka kwenye mashimo yenu
 
Furaha ya utopolo ni kuona Mo kaondoka Simba siyo Yanga kubeba kombe.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya Simba ya sasa na Yanga.
Watu wa Yanga wamejaa humu kutuficha kinachoendelea Kagame cup na usajili wa kutisha nasikia Engineer kawaambia sasa ni kabla ya mzunguko wa Kwanza wanatangaza ubingwa wakishirilikiana na Mzee Mpili
 
Watu wa Yanga wamejaa humu kutuficha kinachoendelea Kagame cup na usajili wa kutisha nasikia Engineer kawaambia sasa ni kabla ya mzunguko wa Kwanza wanatangaza ubingwa wakishirilikiana na Mzee Mpili
Wale ndugu zetu wameishi kwa tabu sana miaka hii mitano.

Furaha yao ni kuona tunarudi kwenye level yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…