Kwanini Mo 'hatamuweza'Manara

Morali ya timu iki drop kwamba Chama ata flop, Onyango ata flop, Bwalya atashuka uwezo kwa sababu ya huyo mpiga Taarabu hayupo hicho kitu hakitakuja kutokea Never....... Tutaenda uwanjani kwenye mechi za Simba kwa sababu tuna Passion na club yetu sio vinginevyo.
 
Nimesema muda ndio muamuzi wala halina mjadala sababu hata mtoto akikosa upendo hawezi fanya vyema shuleni
 
His 5 minutes of fame zinaisha hivi karibuni na Simba itabaki imara.
 
Labda utueleze sababu ya Simba kushinda mechi za nyumbani, hasa za kimataifa.
Kama uwepo wa mashabiki siyo factor, basi mtakuwa mnacheza bao labda au keram.
 
Well said MANARA anainflunce Sana ktk suala la mashabiki simba na pia ktk soka la TZ kwa ujumla kuhamasisha
 
Mbona nimeuliza swali rahisi sana ila majibu unanipa out of topic??

Wewe unachoumia ni kipi Simba ikiibiwa na huyo Mo? Au unapata hasara gani kubwa?
 
Labda utueleze sababu ya Simba kushinda mechi za nyumbani, hasa za kimataifa.
Kama uwepo wa mashabiki siyo factor, basi mtakuwa mnacheza bao labda au keram.
Kwanini Yanga yeye alikuwa hashindi pamoja na Manji kuwalipia mashabiki waingie bure?
 
Kwanini Yanga yeye alikuwa hashindi pamoja na Manji kuwalipia mashabiki waingie bure?
Bila mashabiki ile mechi iliweza kuwa 5.
Lakini yanga kashamchapa Al Ahly taifa, kashamchapa USM Algiers ...
Msidhani nyie tu ndio mmemfunga Ahly
 
Well said MANARA anainflunce Sana ktk suala la mashabiki simba na pia ktk soka la TZ kwa ujumla kuhamasisha
Alikuwa muhamasishaji kule Egypt kwenye Afcon lakini tulifungwa mpaka na Kenya ambayo Football kwao ni third sport na hawakwenda hata muhamasishaji..
 
Bila mashabiki ile mechi iliweza kuwa 5.
Lakini yanga kashamchapa Al Ahly taifa, kashamchapa USM Algiers ...
Msidhani nyie tu ndio mmemfunga Ahly
Alafu baada ya kuwachapa mkafika kwenye makundi?

Mlivyofika makundi mkabuluza mkia bila kushinda hata mechi moja kwa Mkapa mlikosa mhamasishaji au mlikosa mashabiki??
 
Wafocus kwenye malengo yao wakat wanaminya maslah ya watu nje nje...uvumilivu na utumwa huo si karne hii ya kidigitali asee..ilikua zaman
 
Labda utueleze sababu ya Simba kushinda mechi za nyumbani, hasa za kimataifa.
Kama uwepo wa mashabiki siyo factor, basi mtakuwa mnacheza bao labda au keram.
Simba imeshinda Away Nigeria, Imeshinda Congo na huko ilikuwa na Mashabiki Mechi ya El Marreikh mashabiki walikuwepo uwanjani ????....Simba ipo hapo ilipo hivi sasa kwa sababu ya Qualify yake kuanzia Coach ,Technical bench, Player's na Uongozi collectively .

Timu inalindwa kwa pesa , Matokeo ya uwanjani na Vikombe sio kelele za Haji Manara.

Timu ina dead players kama Sarpong, Fiston ,Nchimbi, Yacouba ,Lamine umwambie mashabiki aende uwanjani atakuelewa??? Atakuona mwehu..

Chama, Bwalya, Miquissone, Morriston, Mugalu ,Lwanga,Kagere, Joash ,Aishi Nenda kaokote wachezaji kama Yanga harafu utumie mdomo wako kupiga kelele kama utapata Matokeo.
 
Huu Uzi naona umejaa mashabiki wa yanga, Huyo Manara ndio anacheza? Ndio anahudumia timu? Eti simba itetereke kisa Manara hayupo upumbavu mtupu, ndio maana soka letu haliendelei kama mashabiki wenyewe ndio hawa
 
Pale Simba Mo ana maadui wengi kuliko anavyofikiri, asifikiri ni kina Kilomoni peke yake kuna wengine wamekaa kimya ila wanajua nini kinaendelea kumpata mtu kama Manara ni pigo kwake sababu yeye kitu kikimkera anakimbilia twitter lakini washabiki wengi wa mpira hawako twitter bali kwenye vijiwe vya kahawa na mtandaoni. Salama pekee ya Mo ni Simba kufanya vizuri.
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jiulize hizo timu mlizozifunga away zilikuwa na mashabiki?
Msijitoe ufahamu, home games advantage yake ni mashabiki. Ushabiki kwenye mchezo wa soka ni element muhimu kama ilivyo benchi la fundi, uongozi na wachezaji.
Siyo kwa sababu Leo manara kaongea mbovu basi ndio mjitoe akili.
Wachezaji wazuri nao wanahitaji vitu vingi behind the scenes.
 
Kila mtu abaki na anacho kiamini kwenye Akili yake.Tuishie hapo tu.
 
Hakuna kiongozi wa simba atakae mjibu manara ataongea mpaka achoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…