Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kutokea mara nyingi si kigezo cha kukaliwa kimya.Hahaha. Kuna shabiki wa Yanga kama watoto wa mwisho. Wanapenda attention kweli. Hili tukio unaweza dhani ndo mara ya kwanza kutokea Africa na duniani.
Koroma ila usijipe uspecial. Hakuna uspecial wowote kwa kilichokukuta, si mara ya kwanza na haitakuwa mara ya mwisho dunia ya soka kushuhudia matukio yanayotafsiriwa kama uonevu kwa aliepoteza.kutokea mara nyingi si kigezo cha kukaliwa kimya.
Kitambo sana imeshatoka na tiketi zimeshaisha.Nyota njema huonekana asubuhi. Mpaka Sasa Caf hawajapanga tarehe ya nusu fainali ya club bingwa Africa. Hii inaashilia barua ya Yanga inafanyiwa kazi.
Mungu si Athuman, lolote laweza kutokea.
Mechi haiwezi kurudiwa, uwezekano uliopo ni walio simamia mchezo kuadhibiwa.Hii game kama ikirudiwa Timu Yangu Young Africans inakwenda kupoteza, hivi italeta maneno sana huku mtaani.
Unadhani mechi nzima ikichunguzwa ili hilo neno fair litafutwe kwa 100% ni tukio la Aziz K tu ndo litaonekana si Fair? Ile faulu tu ambayo refa aliamua kufunika kombe kuna marefaree ni straight red card na huna namna ya kuwahukumu kuwa wamekosea.maana maamuzi yanahusisha vitu vingi pia itahusisha mpaka ripoti ya msimamizi wa kituo, ripoti ya Marefa waliochezesha n.k
Upo pia uwezekano Yanga kuendelea na mashindano na
Mamelodi kutupwa ila kulingana na mazingira yalivyo ni nafasi ndogo Sana kwakua soka letu Bado halijafikia fair play ya namna iyo kulingana ushawishi wa timu waliyocheza nayo.
Labda Mungu aingilie kati.
Hawa ni CAF:Mpaka Sasa Caf hawajapanga tarehe ya nusu fainali ya club bingwa Africa
Wanaulizana na kutafakari Azizi Funguo ni nani😁Nyota njema huonekana asubuhi. Mpaka Sasa Caf hawajapanga tarehe ya nusu fainali ya club bingwa Africa. Hii inaashilia barua ya Yanga inafanyiwa kazi.
Mungu si Athuman, lolote laweza kutokea.
mkuu una uwezo mdogo sana wa uelewa na kufikiria.Koroma ila usijipe uspecial. Hakuna uspecial wowote kwa kilichokukuta, si mara ya kwanza na haitakuwa mara ya mwisho dunia ya soka kushuhudia matukio yanayotafsiriwa kama uonevu kwa aliepoteza.