Kwanini mpaka sasa ratiba ya nusu fainali ya CAFCL haijatoka?

Kwanini mpaka sasa ratiba ya nusu fainali ya CAFCL haijatoka?

Unadhani mechi nzima ikichunguzwa ili hilo neno fair litafutwe kwa 100% ni tukio la Aziz K tu ndo litaonekana si Fair? Ile faulu tu ambayo refa aliamua kufunika kombe kuna marefaree ni straight red card na huna namna ya kuwahukumu kuwa wamekosea.
Refa hawezi kutoa Red kwa faul ya Lomalisa, Lomalisa alianza kucheza tackling akiwa mbele ya Mudau ila aka ukosa mpira, Refa anacho angalia ni dhamira ya mchezaji.

Kama ile faul ingekua tackling from behind ingekua red, Bahati mbaya Kuna baadhi ya mashabiki ni mambumbu wa Sheria za mpira.
Ata refa aliamua kuwa puuza watu wa VAR na dhamira Yao ovu kwakua si faul ya kuhitaji marudio ya VAR.
 
Nyota njema huonekana asubuhi. Mpaka Sasa Caf hawajapanga tarehe ya nusu fainali ya club bingwa Africa. Hii inaashilia barua ya Yanga inafanyiwa kazi.

Mungu si Athuman, lolote laweza kutokea.
Ratiba gani haijatoka?
 
Unaidhalilisha Jamii Forum Mkuu.

Hapa ni Home of Great Thinkers.

Aina hii ya nyuzi inatufanya member awote wa Jf ni wapumbavu.
Kwanini usiulize Gogle au kwenda Official Account za CAF, Au kwa mtu wako wa karibu.

Mnajaza nyuzi kwa mada za kitoto.
 
Nyota njema huonekana asubuhi. Mpaka Sasa Caf hawajapanga tarehe ya nusu fainali ya club bingwa Africa. Hii inaashilia barua ya Yanga inafanyiwa kazi.

Mungu si Athuman, lolote laweza kutokea.
Barua haina saini ile

Mmepoozwa hasira zenu na viongozi wenu
Ile barua imeishia mtandaoni mdau
 
Nyota njema huonekana asubuhi. Mpaka Sasa Caf hawajapanga tarehe ya nusu fainali ya club bingwa Africa. Hii inaashilia barua ya Yanga inafanyiwa kazi.

Mungu si Athuman, lolote laweza kutokea.
Amka ukakojoe usije kojoa kitandani. Naona unaota.

Ratiba ilipangwa siku ileile mnapangwa na Masandawana.

Hiyo barua no ujinga wa viongozi wenu tu kulalamika ukweli mnaujua mlifungwa kihalali.

Endeleeni kuota wenzenu wapo nusu faonali

Malalamiko fc
 
Hahaha. Kuna shabiki wa Yanga kama watoto wa mwisho. Wanapenda attention kweli. Hili tukio unaweza dhani ndo mara ya kwanza kutokea Africa na duniani.
Ahahahahah wakati wao walishamfanyia Namungo na Fei Toto akadai kagonhwa
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Nyota njema huonekana asubuhi. Mpaka Sasa Caf hawajapanga tarehe ya nusu fainali ya club bingwa Africa. Hii inaashilia barua ya Yanga inafanyiwa kazi.

Mungu si Athuman, lolote laweza kutokea.
Lolote linaweza kutokea, match fixing sio jambo dogo!
 
Yanasubiriwa maamuzi ya Yanga.
Mamelodi itolewe iingie Yanga
 
Back
Top Bottom