muokotamatunda
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,614
- 1,202
Mashujaa 1 ,paka 0Nyota njema huonekana asubuhi. Mpaka Sasa Caf hawajapanga tarehe ya nusu fainali ya club bingwa Africa. Hii inaashilia barua ya Yanga inafanyiwa kazi.
Mungu si Athuman, lolote laweza kutokea.
Refa hawezi kutoa Red kwa faul ya Lomalisa, Lomalisa alianza kucheza tackling akiwa mbele ya Mudau ila aka ukosa mpira, Refa anacho angalia ni dhamira ya mchezaji.Unadhani mechi nzima ikichunguzwa ili hilo neno fair litafutwe kwa 100% ni tukio la Aziz K tu ndo litaonekana si Fair? Ile faulu tu ambayo refa aliamua kufunika kombe kuna marefaree ni straight red card na huna namna ya kuwahukumu kuwa wamekosea.
Kitambo tu ilishatokaMimi mtani ila naomba barua ya yanga izingatiwe! Kitendo walicho fanyiwa mimi kama mkereketwa wa mpira sikukipenda hata kidogo.
Ratiba gani haijatoka?Nyota njema huonekana asubuhi. Mpaka Sasa Caf hawajapanga tarehe ya nusu fainali ya club bingwa Africa. Hii inaashilia barua ya Yanga inafanyiwa kazi.
Mungu si Athuman, lolote laweza kutokea.
Barua haina saini ileNyota njema huonekana asubuhi. Mpaka Sasa Caf hawajapanga tarehe ya nusu fainali ya club bingwa Africa. Hii inaashilia barua ya Yanga inafanyiwa kazi.
Mungu si Athuman, lolote laweza kutokea.
Amka ukakojoe usije kojoa kitandani. Naona unaota.Nyota njema huonekana asubuhi. Mpaka Sasa Caf hawajapanga tarehe ya nusu fainali ya club bingwa Africa. Hii inaashilia barua ya Yanga inafanyiwa kazi.
Mungu si Athuman, lolote laweza kutokea.
Ahahahahah wakati wao walishamfanyia Namungo na Fei Toto akadai kagonhwaHahaha. Kuna shabiki wa Yanga kama watoto wa mwisho. Wanapenda attention kweli. Hili tukio unaweza dhani ndo mara ya kwanza kutokea Africa na duniani.
Lolote linaweza kutokea, match fixing sio jambo dogo!Nyota njema huonekana asubuhi. Mpaka Sasa Caf hawajapanga tarehe ya nusu fainali ya club bingwa Africa. Hii inaashilia barua ya Yanga inafanyiwa kazi.
Mungu si Athuman, lolote laweza kutokea.