Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,448
Nikiwa na yf k' koo, yf alishtuka kumuona Mpoto anapekua!
Baadae nilikutana nae Airport anaenda Uingereza, alivaa suti nadhif lkn chini peku peku!
Ni kweli jamaa ni peku peku!
Hatembei juani ndo mana. Atembee juani ndo atajua balaa la jua.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Wana ukumbi kuuliza si ujinga kwani ukipata jibu ndio kuongeza wigo ki maarifa,huyu msanii wa mashahiri Mrisho Mpoto ni sababu gani havai viatu?
unatuumiza macho weye!Ni leo tu kwa ajili ya umuhimu wa KATIBA YA SITAamesahau nyumbani,nafikili Sita kesho mkae tena mzungumzie haki ya mtu asiye na kiatu kama Mboto.Posho atalipa KOMBA na shibuda