MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Kuna kitu sijakielewa na hiki ni vigumu sana kukiona kwenye nchi zilizo endelea hasa Ulaya huko.
Haji Manara ni Msemaji wa Club ya Simba na Mdhamini au mmiliki wa Club ni Mo,
Mo ana bidhaa zake nyingi sana kama maji, aina mbalimbali za vinywaji, unga wa ngano kwa kifupi ana product nyingi sana na ziko hadi kwenye jezi za timu.
Ila hii ya Manara kutangaza product za Azam sielewi inawezekana vipi, how come? Anayejua anisaidie kwamba inawezekana vipi? Na product anazotangaza ni the same na zinazozalishwa na Bosi wake.
Kwa wenzetu hiki hakiwezekani Milele.