Kwahiyo tumkute mwanaccm anapost Mambo ya Chadema kwenye account Yake kisa ni account binafsi.Hiyo ni akaunti binafsi ya Haji Manara na sio akaunti ya Simba! Kwa maana nyingine, anayetangaza hiyo bidhaa sio Msemaji wa Simba bali Haji Manara!
terms and conditions za mkataba wa nani dhidi ya nani?!Kwahiyo tumkute mwanaccm anapost Mambo ya Chadema kwenye account Yake kisa ni account binafsi.
Unajua terms and conditions za mkataba kuhusu conflict of interest ?
Umezingua, hata kama ni account binafsi,Hiyo ni akaunti binafsi ya Haji Manara na sio akaunti ya Simba! Kwa maana nyingine, anayetangaza hiyo bidhaa sio Msemaji wa Simba bali Haji Manara! Na kwa maana nyingine, hata Mo anaweza kutangaziwa bidhaa zake na Haji Manara lakini atatakiwa kumlipa Haji yeye binafsi, na malipo hayo hayataingia kwenye vitabu vya Simba!!! Na kwa maana nyingine tena ya msisitizo, hata GSM nao wanaweza kutangaziwa bidhaa zao na huyo huyo Haji Manara kwenye akaunti hiyo hiyo ya Haji Manara kama ambavyo Mo Dewji anavyoweza kutangaziwa bidhaa zake kwenye akaunti binafsi ya Antonio Nugaz!!
Na pia usisahau, kuna Kampuni ya Azam na Azam FC!!
Yaani anaihujumu kutangaza bidhaa za Azam?! How?!Umezingua, hata kama ni account binafsi,
Huyu anafaa kufukuzwa kazi anahihujumu timu,
Hapo chacha!!! Hiyo nayo ni another strong point; Haji ni Msemaji/Mwajiriwa wa Simba na sio wa Mo!! Na isitoshe, Haji anatangaza bidhaa za Azam na sio za Azam FC!
Ni hujuma Sana tena iko wazi, ataanzaje kutangaza bidhaa za jirani wakati boss wake nae anabidhaa kama izzo, bidhaa za boss wake zisipo toka atawalipa Nini.?Yaani anaihujumu kutangaza bidhaa za Azam?! How?!
Hii haiko sawa..Kuna kitu sijakielewa na hiki ni vigumu sana kukiona kwenye nchi zilizo endelea hass Ulaya huko.
Haji Manara ni Msemajo wa Club ya Simba na Mdhamini au mmiliki wa Club no Mo,
Mo ana boadhara zake nyingi sana, ana maji, ana aina mbalimbali za vinywaji, ana unga wa ngano kwa kifupi ana product nyingi sana na ziko hadi kwenye jesi za timu.
Ila hii ya Manara kutangaza product za Azam sielewi inawezekana vipi, how come anaye jua anisaidie kwamba inawezekana vipi? Na product anazo tangaza no the same na zonazo zalishwa na Bosi wake.
Kwa wenzetu hiki hakiwezekano Milele.View attachment 1664410
Bosi wa Haji Manara ni Simba na sio Mo Dewji au METL!! Club ya Simba haina biashara ya nazi!! Isitoshe, Manara anatangaza nazi za kampuni ya Azam na sio Azam FC!! Na mambo yangekuwa yanaendeshwa kama mnavyotaka, basi hiyo Simba isingetangazwa kabisa pale Azam TV!!!Ni hujuma Sana tena iko wazi, ataanzaje kutangaza bidhaa za jirani wakati boss wake nae anabidhaa kama izzo, bidhaa za boss wake zisipo toka atawalipa Nini.?
Hiyo haiko sawa mkuu.Hiyo ni akaunti binafsi ya Haji Manara na sio akaunti ya Simba! Kwa maana nyingine, anayetangaza hiyo bidhaa sio Msemaji wa Simba bali Haji Manara! Na kwa maana nyingine, hata Mo anaweza kutangaziwa bidhaa zake na Haji Manara lakini atatakiwa kumlipa Haji yeye binafsi, na malipo hayo hayataingia kwenye vitabu vya Simba!!! Na kwa maana nyingine tena ya msisitizo, hata GSM nao wanaweza kutangaziwa bidhaa zao na huyo huyo Haji Manara kwenye akaunti hiyo hiyo ya Haji Manara kama ambavyo Mo Dewji anavyoweza kutangaziwa bidhaa zake kwenye akaunti binafsi ya Antonio Nugaz!!
Na pia usisahau, kuna Kampuni ya Azam na Azam FC!!
Bado hata kama boss wake ni Simba, kutangaza bidhaa za Azam ni tatizo , Azam Fc, Simba Fc, Ni Bora angetangaza bidhaa za Simba tela,Bosi wa Haji Manara ni Simba na sio Mo Dewji au METL!! Club ya Simba haina biashara ya nazi!! Isitoshe, Manara anatangaza biashara ya Azam na sio Azam FC!! Hali ingekuwa kama mnavyotaka, basi hiyo Simba isingetangazwa kabisa pale Azam TV!!!
Haji Manara ametangaza nazi za Kampuni ya Azam na sio Azam FC! Msichanganye mambo!!! Ina maana leo hii Azam TV haiwezi kutangaza bidhaa za Simba kwa sababu Azam TV na Azam FC zote zinatokana na kampuni mama ya Azam, na Simba ni mshindani wa Azam FC?Sasa iweje leo atangaze biashara za Azam?
Tena timu ambayo ni shindani kwenye ligi?
Wewe ndo unaona ni tatizo lakini mwajiri wake hajaona hilo tatizo kwa sababu wanajua hakuna tatizo!!! Hivi kwa ufahamu wako, leo hii Mo Dewji amiliki TV Stations unaamini hatatangaza bidhaa za Yanga?! Au unataka kusema Azam TV hawawezi kutangaza bidhaa za Simba?!Bado hata kama boss wake ni Simba, kutangaza bidhaa za Azam ni tatizo , Azam Fc, Simba Fc, Ni Bora angetangaza bidhaa za Simba tela,
Utakauka koo broo bure.... Hawa hawaelewiHaji Manara ametangaza nazi za Kampuni ya Azam na sio Azam FC! Msichanganye mambo!!! Ina maana leo hii Azam TV haiwezi kutangaza bidhaa za Simba kwa sababu Azam TV na Azam FC zote zinatokana na kampuni mama ya Azam, na Simba ni mshindani wa Azam FC?
Hivi muheshimiwa mbowe anaweza kutangaza kofia na mashati ya ccm ?Haji Manara ametangaza nazi za Kampuni ya Azam na sio Azam FC! Msichanganye mambo!!! Ina maana leo hii Azam TV haiwezi kutangaza bidhaa za Simba kwa sababu Azam TV na Azam FC zote zinatokana na kampuni mama ya Azam, na Simba ni mshindani wa Azam FC?