Pawa chilonda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 356
- 418
Haji Manara amefanya alivyoweaza Kuinadi Simba SC ila kwa ninayoyasikia dhidi yake Yeye, Mo Dewji na CEO Gonzalez aachane tu na Simba SC.Kuna kitu sijakielewa na hiki ni vigumu sana kukiona kwenye nchi zilizo endelea hass Ulaya huko.
Haji Manara ni Msemajo wa Club ya Simba na Mdhamini au mmiliki wa Club no Mo,
Mo ana boadhara zake nyingi sana, ana maji, ana aina mbalimbali za vinywaji, ana unga wa ngano kwa kifupi ana product nyingi sana na ziko hadi kwenye jesi za timu.
Ila hii ya Manara kutangaza product za Azam sielewi inawezekana vipi, how come anaye jua anisaidie kwamba inawezekana vipi? Na product anazo tangaza no the same na zonazo zalishwa na Bosi wake.
Kwa wenzetu hiki hakiwezekano Milele.View attachment 1664410
BrandWewe ndo unaona ni tatizo lakini mwajiri wake hajaona hilo tatizo kwa sababu wanajua hakuna tatizo!!! Hivi kwa ufahamu wako, leo hii Mo Dewji amiliki TV Stations unaamini hatatangaza bidhaa za Yanga?! Au unataka kusema Azam TV hawawezi kutangaza bidhaa za Simba?!
Wewe ndo unaona ni tatizo lakini mwajiri wake hajaona hilo tatizo kwa sababu wanajua hakuna tatizo!!! Hivi kwa ufahamu wako, leo hii Mo Dewji amiliki TV Stations unaamini hatatangaza bidhaa za Yanga?! Au unataka kusema Azam TV hawawezi kutangaza bidhaa za Simba?!
Kwanza, tofautisheni kati ya Kampuni ya Azam na Azam FC!! Pili, tofautisheni kati ya Simba FC na Mohamed Enterprises. Tatu, kwa mfano wa Mbowe ungeuliza "Ina maana Mbowe hawezi kutangaza bidhaa za Magufuli Engineering Company Ltd" assuming Magu angekuwa na hiyo kampuni?! Nne, nijibuni swali langu kwamba: Ina maana Azam TV haiwezi kutangaza bidhaa za Simba?!Hivi muheshimiwa mbowe anaweza kutangaza kofia na mashati ya ccm ?
Halafu ikajengwa hoja ya kumtenganisha mbowe na chadema?
Kwanini watanzania tunakubali kufanywa wapuuzi kwa hoja za kipuuzi?
Hivi manara popote pale utamtambulisha kama msemaji wa simba,,?
Au utamtambulisha kama nani?
Hapo mwambieni kakosea,,,angeweza kutangaza zingine na sio brand za watu ambao wapo kwenye ligi moja.
Kumbuka azam pia ni brand.
Jibu swali langu kuhusu Azam TV!!Brand
Umezingua, hata kama ni account binafsi,
Huyu anafaa kufukuzwa kazi anahihujumu timu,
Unachohoji ni: Yanga SC vs Simba SC, wakati mada ni Haji Manara (sio Simba) vs Azam Ltd (sio Azam FC)Unamaanisha yanga inaweza ikakodi frem pale msimbazi jengo la simba na kuweka duka la jezi na vifaa vya michezo vya yanga?
Sababu tu ,,,frem zinapangishwa,,,?
Kwakuwa biashara haichaguwi wa kufanya nae?
Kwa anachokifanya manara,,tumeshafahamu matokeo ya kiporo cha ligi,,baina ya simba na Azam..
Atatangaza Yanga lakini si mfanyakazi wa timu au mtu anaisemea football club, atakuwa ni mtu mwingine ambae anamkataba wa kutangaza hilo Tangazo la YangaJibu swali langu kuhusu Azam TV!!
Dah! Kweli ndugu yangu, manake watu ni full kuchanganya madesa! Wanashindwa hata kutofautisha kati ya Azam na Azam FC! Ajabu nawauliza ikiwa Azam TV hawawezi kutangaza bidhaa za Simba SC, hili swali wanalikwepa!!!!Utakauka koo broo bure.... Hawa hawaelewi
Lakini yeye ni brand ya Simba , Jina Azam linaleta ukakasi anapolitaja mtu ambae ni msemaji wa Simba, haya mambo ndo yameiua Toto ya mwanza. Tabia ya kuvaa ngozi mbiliWe jamaa acha hayo mambo...Manara hana kosa lolote sio kazi yake kutangaza bidhaa za Mo.
Nimekuuliza "ina maana Azam TV hawawezi kutangaza bidhaa za Simba?" Sasa habari za mara Yanga, mara mfanyakazi zinatoka wapi?Atatangaza Yanga lakini si mfanyakazi wa timu au mtu anaisemea football club, atakuwa ni mtu mwingine ambae anamkataba wa kutangaza hilo Tangazo la Yanga
Nijibu hoja yangu ya kufunguwa frem pale jangwani na kuuza jezi za na vifaa vya simba,Kwanza, tofautisheni kati ya Kampuni ya Azam na Azam FC!! Pili, tofautisheni kati ya Simba FC na Mohamed Enterprises. Tatu, kwa mfano wa Mbowe ungeuliza "Ina maana Mbowe hawezi kutangaza bidhaa za Magufuli Engineering Company Ltd" assuming Magu angekuwa na hiyo kampuni?! Nne, nijibuni swali langu kwamba: Ina maana Azam TV haiwezi kutangaza bidhaa za Simba?!
Hivi unaweza kunieleza nazi zinazotengenezwa na Simba SC zinaitwaje?!Lakini yeye ni brand ya Simba , Jina Azam linaleta ukakasi anapolitaja mtu ambae ni msemaji wa Simba, haya mambo ndo yameiua Toto ya mwanza. Tabia ya kuvaa ngozi mbili
Akafunguwe frem pale jangwani auze jezi za simba.We jamaa acha hayo mambo...Manara hana kosa lolote sio kazi yake kutangaza bidhaa za Mo.
Hayo ni mawazo yako ya kijinga kama unavyojiita kuwawazia wenzio ujingaMashabiki wa yanga uwa wanajua GSM Ni Mali ya yanga[emoji847][emoji847][emoji847].
We unadhani mo haioni potential ya Manara kimatangazoUmezingua, hata kama ni account binafsi,
Huyu anafaa kufukuzwa kazi anahihujumu timu,