Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Azam Tv watatangaza bidhaa za Simba , lakini ambaye atangaza si msemaji wa club ya Azam, atakuwa ni mtu mwingine ambae hana cheo chochote kwenye club ya Azam FC.Nimekuuliza "ina maana Azam TV hawawezi kutangaza bidhaa za Simba?" Sasa habari za mara Yanga, mara mfanyakazi zinatoka wapi?
Hoja yako ya fremu ni irrelevant na ndio maana nikakuambia tofautisha kati ya Azam na Azam FC!! Wewe umehoji ikiwa Yanga (timu) inaweza kupanga fremu za Simba ( mali ya timu) wakati hapa ni Haji kutangaza biashara za kampuni ya Azam na sio Azam FC!! Na ndio maana nikakuambia tofautisha kati METL na Simba FC kwa sababu Mshindani wa Azam (kampuni) ni METL na sio Simba FC; na huyo Manara ni Mwajiriwa wa Simba na sio Mwajiriwa wa METL!!Nijibu hoja yangu ya kufunguwa frem pale jangwani na kuuza jezi za na vifaa vya simba,
Au kufunguwa frem pale msimbazi club ya simba na kuuza jezi na vifaa vya yanga..
Hebu tetea hoja yako hapo.
Jamaa mwambieni kateleza na atakosa sifa za kuaminika kama msemaji..
Ngoja tuendelee kuchochea kuni..
Aridhike na anachokipata kwa muajiri wake simba sports club na sio mo dewj,,
Kama ni kuoa wote tumeoa lakini hatujafikia kupagawa na njaa kiasi hicho.
Zote ni clubs na brand pia,,Unachohoji ni: Yanga SC vs Simba SC, wakati mada ni Haji Manara (sio Simba) vs Azam Ltd (sio Azam FC)
Haondoke tu, Hatumuhitaji manaraWe unadhani mo haioni potential ya Manara kimatangazo
Usikute wanatafuta namna ya kumtoa hawamtaki
Sasa haji afe njaa kisa Simba
Haji hamia Yanga kabisa babako na mwanao Ni Yanga achana na mikia
Sasa habari za Azam FC zinatoka wapi tena wakati zimezungumzia Azam TV?! Au ndo yale yale; mnadhani Mohamed Enterprises na Simba SC ni kitu kimoja, na kwa upande mwingine mnadhani Azam FC na Azam ni kitu kimoja!!!!Azam Tv watatangaza bidhaa za Simba , lakini ambaye atangaza si msemaji wa club ya Azam, atakuwa ni mtu mwingine ambae hana cheo chochote kwenye club ya Azam FC.
Ni mechi za yanga na simba? Au Voda com ligi?Mbona mechi za Simba na Yanga zinaonyeshwa na hao hao Azam?
Hata kama mnamchukia Manara, leteni hoja sio viroja
Sasa kwani Azam ni mpinzani wa Simba au wa Mohamed Enterprises?! Mbona mnachanganya mambo?! Mpinzani wa Simba SC ni Azam FC na sio Azam!!! Na Mpinzani wa Azam ni Mohamed Enterprises na sio Simba SC!!! Na Mwajiri wa Manara ni Simba na sio Mohamed Enterprises!!Zote ni clubs na brand pia,,
Umetoa mfano wa TV na matangazo ya simba.
Ndy nikakwambiya unaweza kufunguwa frem jangwani au msimbazi?
Ukaweka frem za kuuza jezi ya mpinzani wako?
Manara nje ya brand ya simba ni sawa na mtungi mtupu bila gesi,,
Hayo matangazo anayoyafanya yameletwa na brand ya simba.
Sasa leo utamtofautishaje na simba?
tuone kesho akiwa sio msemaji kama atakuwa na mvuto wa kutangaza hata chapati kwa shishi baby.
Hawa wana relation mzee, kwani huoni majina, Azam Tv na Azam FC ni ndugu ,Sasa habari za Azam FC zinatoka wapi tena wakati zimezungumzia Azam TV?! Au ndo yale yale; mnadhani Mohamed Enterprises na Simba SC ni kitu kimoja, na kwa upande mwingine mnadhani Azam FC na Azam ni kitu kimoja!!!!
Ngoja niongee lugha yako:Azam TV na Azam FC ni ndugu! Kwahiyo unataka kusema Mohamed Enterprises na Simba SC na wenyewe ni ndugu?!Hawa wana relation mzee, kwani huoni majina, Azam Tv na Azam FC ni ndugu ,
Hahahaa. Hujawahi kuona Real Madrid inadhaminiwa na Adidas lakini CR7 akitangaza bidhaa za Nike?Umezingua, hata kama ni account binafsi,
Huyu anafaa kufukuzwa kazi anahihujumu timu,
Manara anatumia brand ya simba kwa manufaa binafsi..Hoja yako ya fremu ni irrelevant na ndio maana nikakuambia tofautisha kati ya Azam na Azam FC!! Wewe umehoji ikiwa Yanga (timu) inaweza kupanga fremu za Simba ( mali ya timu) wakati hapa ni Haji kutangaza biashara za kampuni ya Azam na sio Azam FC!! Na ndio maana nikakuambia tofautisha kati METL na Simba FC kwa sababu Mshindani wa Azam (kampuni) ni METL na sio Simba FC; na huyo Manara ni Mwajiriwa wa Simba na sio Mwajiriwa wa METL!!
Tatizo lenu mnachukulia Simba na Mohamed Enterprises ni kitu kimoja wakati sio!!!
Yaani kabisa unapoteza nguvu kuwaelewesha hao? Watakuumiza kichwa.Wewe ndo unaona ni tatizo lakini mwajiri wake hajaona hilo tatizo kwa sababu wanajua hakuna tatizo!!! Hivi kwa ufahamu wako, leo hii Mo Dewji amiliki TV Stations unaamini hatatangaza bidhaa za Yanga?! Au unataka kusema Azam TV hawawezi kutangaza bidhaa za Simba?!
Mpinzani ni timu yoyoye iliyopo kwenye ligi moja,,Sasa kwani Azam ni mpinzani wa Simba au wa Mohamed Enterprises?! Mbona mnachanganya mambo?! Mpinzani wa Simba SC ni Azam FC na sio Azam!!! Na Mpinzani wa Azam ni Mohamed Enterprises na sio Simba SC!!! Na Mwajiri wa Manara ni Simba na sio Mohamed Enterprises!!
Anatumia brand ya Simba kwa manufaa yake binafsi kivipi?! Ina maana anahamasisha mashabiki wa Simba huku akitumia kofia yake ya Usemaji wa Simba ili mashabiki wanunue hizo nazi, au?!Manara anatumia brand ya simba kwa manufaa binafsi..
Asipofungwa speed governor huenda kesho akaibukia na matangazo mengine...
Fully stop..
Kama anataka kufanya matangazo basi atuachie timu yetu.
Kama ni kubwabwaja hakuhitaji degree za kubwabwaja hovyo mitandaoni,,
Wapo watu kibao,,,wabwabwajaji.
Ngoja nichukue rasmi ushauri wako na ule wa Wakipekee aliyenitahadhalisha hapo kabla kwambaYaani kabisa unapoteza nguvu kuwaelewesha hao? Watakuumiza kichwa.
Utakauka koo broo bure.... Hawa hawaelewi
Hayo ni mawazo yako ya kijinga kama unavyojiita kuwawazia wenzio ujinga
Owner wa Azam fc ni nani?Tofautisha vitu hivi 4
Simba SC v/s MoTEL Company
Azam FC v/s Azam Company
TANZANIA:
Manara ni Mwajiriwa wa Simba SC na wala sio mwajiriwa wa MoTEL Company, hivyo ili alitangazie bidhaa MoTEL Company ni lazima iingie mkataba na imlipe. Hawezi kuitabgazia bidhaa zake kwasababu tu mmiliki wake ni Bosi wa Simba SC.
Manara haitangazi AZAM FC bali anatangaza bidhaa za AZAM Company Ltd kwa kuingia nao Mkataba na Wanamlipa.
ULAYA:
Mmiliki wa Timu ya Liverpool ni FSG ambayo ni kampuni ya kibiashara ya Vifaa vya Michezo, lakini sijawahi kumuona MO SALAH akitangaza bidhaa za Kampuni hii, bali anatangaza bidhaa za NIKE ambazo ameingia nazo mkataba yeye mwenyewe binafsi kama Manara alivyoingia mkataba binafsi na Kampuni ya AZAM Company Ltd.
Je MO SALAH afukuzwe Liverpool?
Halafu huu ujuaji wenu wa kusema kitu fulani Ulaya hakipo kwasababu tu hukijui wewe munatia aibu kiukweli.
Siwezi bishana nawe, Id yako tu yatosha kunitulizaUwa mnadhani mna shareholder pale GSM [emoji1787][emoji1787][emoji1787].