Now you talk!!!!Mkuu lakini pia Azam na Simba ni Baba na Shangazi wote ndugu...na pia Yeye Haji ameingia mkataba na Simba kua msemaji na hajaingia na Mo kumtangazia biashara zake.
Siwezi bishana nawe, Id yako tu yatosha kunituliza
Kwa hiyo ww unasemaje ?Hata ukiwa mfanyakazi wa Pepsi , hafu ukapiga picha unakunywa kokakola unafukuzwa kazi, au tbl hafu ukapiga picha na Serengeti lite
Hao wote wanalipwa na nani?Sawa MMILIKI NI bakhresa.
Lakini hayo makampuni yanafanya kazi kwa kujitegemea..
Sijui unaelewa hyo point.?.
yaani kila kampuni inafanya kivyake.
Azam Nazi ipo kivyake na Azam FC ipo kivyake.
Haji anatangaza azam Nazi.
Sio Azam FC.
Na ndo manaa kila kampuni Ina meneja wake na wafanyakazi wake Ila tukirudi kwenye mmiliki ndo huyo bakhresa.
Mkuu unasemaje mwanzo wa ugomvi huoKwa hiyo ww unasemaje ?
Hao wote wanalipwa na nani?
Halafu humu watu ndio wanajiita wasomi
Kama hausiki mbona company zote ni za s. s.bakresa?Na kampuni zao.
Bakhresa Wala hausiki.
Kuna kitu sijakielewa na hiki ni vigumu sana kukiona kwenye nchi zilizo endelea hass Ulaya huko.
Haji Manara ni Msemajo wa Club ya Simba na Mdhamini au mmiliki wa Club no Mo,
Mo ana boadhara zake nyingi sana, ana maji, ana aina mbalimbali za vinywaji, ana unga wa ngano kwa kifupi ana product nyingi sana na ziko hadi kwenye jesi za timu.
Ila hii ya Manara kutangaza product za Azam sielewi inawezekana vipi, how come anaye jua anisaidie kwamba inawezekana vipi? Na product anazo tangaza no the same na zonazo zalishwa na Bosi wake.
Kwa wenzetu hiki hakiwezekano Milele.View attachment 1664410
Kama hausiki mbona company zote ni za s. s.bakresa?
Inaingia akilini?
Mkuu jezi za Barcelona sponsor ni Nike ila Messi kwenye account zake za Instagram anapost kavaa t-shirt za adidas ana post viatu vipya vya Adidas. Nafikiri hamna shida hapoKuna kitu sijakielewa na hiki ni vigumu sana kukiona kwenye nchi zilizo endelea hass Ulaya huko.
Haji Manara ni Msemajo wa Club ya Simba na Mdhamini au mmiliki wa Club no Mo,
Mo ana boadhara zake nyingi sana, ana maji, ana aina mbalimbali za vinywaji, ana unga wa ngano kwa kifupi ana product nyingi sana na ziko hadi kwenye jesi za timu.
Ila hii ya Manara kutangaza product za Azam sielewi inawezekana vipi, how come anaye jua anisaidie kwamba inawezekana vipi? Na product anazo tangaza no the same na zonazo zalishwa na Bosi wake.
Kwa wenzetu hiki hakiwezekano Milele.View attachment 1664410
Anachofanya Haji sio kosa bali kwa ajili ya kuondoa kitu wahaya wanaita "conflict of Interest" inabidi mikataba ya wafanyakazi woote wa Simba ibadilishwe na iwekewe kipengele hicho cha kuzuia kujihusisha na bidhaa zinazofanana na za mdhamini au mmiliki wa club. Mfano mshabiki wa Simba anaweza kuacha kunywa maji ya Mo akawa anakunywa ya uhai tu kisa kaona Haji anatangaza akidhani kuwa akinywa hayo maji anaiunga mkono Simba...Kuna kitu sijakielewa na hiki ni vigumu sana kukiona kwenye nchi zilizo endelea hass Ulaya huko.
Haji Manara ni Msemajo wa Club ya Simba na Mdhamini au mmiliki wa Club no Mo,
Mo ana boadhara zake nyingi sana, ana maji, ana aina mbalimbali za vinywaji, ana unga wa ngano kwa kifupi ana product nyingi sana na ziko hadi kwenye jesi za timu.
Ila hii ya Manara kutangaza product za Azam sielewi inawezekana vipi, how come anaye jua anisaidie kwamba inawezekana vipi? Na product anazo tangaza no the same na zonazo zalishwa na Bosi wake.
Kwa wenzetu hiki hakiwezekano Milele.View attachment 1664410
Duu,.basi sawa mkuu,,hizo kampuni zinajitegemea.
Azam FC na azam Nazi Ni tofauti
Japo mmiliki ndo huyo.
Watopolo hamuishiwi vitukoUmezingua, hata kama ni account binafsi,
Huyu anafaa kufukuzwa kazi anahihujumu timu,
Anatangazaga vitu vingi kama unga wa ngano na majiBosi wa Haji Manara ni Simba na sio Mo Dewji au METL!! Club ya Simba haina biashara ya nazi!! Isitoshe, Manara anatangaza nazi za kampuni ya Azam na sio Azam FC!! Na mambo yangekuwa yanaendeshwa kama mnavyotaka, basi hiyo Simba isingetangazwa kabisa pale Azam TV!!!
Huwa anatangaza maji ya Uhai, na Unga wa ngano wa Azam, MO pia ana maji ya kunywaHaji Manara ametangaza nazi za Kampuni ya Azam na sio Azam FC! Msichanganye mambo!!! Ina maana leo hii Azam TV haiwezi kutangaza bidhaa za Simba kwa sababu Azam TV na Azam FC zote zinatokana na kampuni mama ya Azam, na Simba ni mshindani wa Azam FC?