Kwanini Msudan wa Simba SC amepewa mkataba wa mwaka mmoja

Kwanini Msudan wa Simba SC amepewa mkataba wa mwaka mmoja

rodrick alexander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
16,784
Reaction score
23,312
Kati ya sajili bora zilizowahi kufanywa Tanzania ni ya yule kiungo wa Simba toka Sudan, lakini cha kusikitisha inasemekana mkataaba wake ni wa mwaka mmoja. Hivi viongozi wa Simba wakati wanamsajili hawakuwa na uhakika na uwezo wake na kama hawakuwa na uhakika na uwezo wake nawashauri wampe mkataba mrefu zaidi mwishoe ataishia kuondoka kama mchezaji huru maana kwa kiwango chake ni wazi timu nyingi zitammezea mate
 
Mkataba ni suala linalogusa maslahi ya pande mbili, kila mmoja anavutia kwake.
Mimi na wewe hatujui, huenda Simba imepanga kumpa mshahara mdogo kwenye mkataba mrefu na mchezaji akagomea.
 
Bongo n mikataba ya miaka 2 au moja kumpa mchezaji miaka 4 dizain y akina ajibu n kucheza kamari
 
Kati ya sajili bora zilizowahi kufanywa Tanzania ni ya yule kiungo wa Simba toka Sudan, lakini cha kusikitisha inasemekana mkataaba wake ni wa mwaka mmoja. Hivi viongozi wa Simba wakati wanamsajili hawakuwa na uhakika na uwezo wake na kama hawakuwa na uhakika na uwezo wake nawashauri wampe mkataba mrefu zaidi mwishoe ataishia kuondoka kama mchezaji huru maana kwa kiwango chake ni wazi timu nyingi zitammezea mate
Swali dogo la nyongeza, Yule PEPSI BIG a.k.a falcao wa chura amesajiliwa Kuitumikia timu Hiyo Kwa Miaka mingapi?? Analipwa shilingi ngapi??
 
Jamaa anajiamini na anajua uwezo wake...katoka Al hilal ya Sudan ambayo ni moja ya timu kubwa Africa anajua anacheza Simba msimu huu unaokuja ataenda timu nyingine akiwa Kama free agent
 
Swali dogo la nyongeza, Yule PEPSI BIG a.k.a falcao wa chura amesajiliwa Kuitumikia timu Hiyo Kwa Miaka mingapi?? Analipwa shilingi ngapi??
Inasemekana yupo kwa mkopo wa mwaka 1.. posho yake sijui kama analipwa huyo.
 
Shiboub kapewa mkataba mfupi kwa sababu kumlipa kwa mkataba mrefu ni gharama ni sawa na wachezaji wa 4 ivyo timu yetu ya taifa simba wakakubaliana kwa mkataba wa mwaka mmoja ambao ni nafuu.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Al Ahly ya Sudan timu kubwa wapi..Ulimwengu angevunja mkataba??Zesco walicheza nusu fainali CAF Champions league nayo ni timu kubwa?timu kubwa ni zile nane tu ambazo hazichezi raundi ya Kwanza CAF...mmecheza na Azam nusu angekuwepo Aggrey Mudathir,Nado,Chirwa angeanza,Ngoma shughuli ingekuwa ngumu kwa msudan mweusi ..jamaa kila mechi anapiga chenga za kizamani za Zidane..ndio maana Sudan hawafuzu AFCON
 
Back
Top Bottom