3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Hao akina Aggrey,Ngoma, Chirwa, Mudathri ni wageni hapo Azam?.. mbona wanafungwa hadi na Yanga mbovu.Al Ahly ya Sudan timu kubwa wapi..Ulimwengu angevunja mkataba??Zesco walicheza nusu fainali CAF Champions league nayo ni timu kubwa?timu kubwa ni zile nane tu ambazo hazichezi raundi ya Kwanza CAF...mmecheza na Azam nusu angekuwepo Aggrey Mudathir,Nado,Chirwa angeanza,Ngoma shughuli ingekuwa ngumu kwa msudan mweusi ..jamaa kila mechi anapiga chenga za kizamani za Zidane..ndio maana Sudan hawafuzu AFCON
Hizo timu 8 ambazo hazichezi First round CAF CL ni zipi? (zitaje)