Kwanini Msudan wa Simba SC amepewa mkataba wa mwaka mmoja

Kiungo bora wa mwaka gani.?. huyu aliyekosa namba Azam akaenda mkopo singida utd.
Tatizo unasimuliwa hujui lolote
Hujui hata historia yake nenda Google utajua yeye ndio kiungo bora waulize makocha wa taifa star na znz
 
Mudhari Yahaya Abass hakuwepo Simba mngepata tabu sana yule ndie kiungo bora hapa Tanzania sema waandishi wanaangalia yanga na simba tu
Kiungo bora yupi ,leta takwimu hapa anazo assist ngapi?kafunga magoli mangapi?katengeneza nafasi ngapi? Kafanya dribling successful ngapi?kafanya tackling ngapi? Mchunguze huyo unayemtaja utuletee majibu,tukikutajia majina ya viungo bora tutapoteza muda maana haujui lolote
 
Wewe ndio hujui lolote nenda Google acha kelele
 
Kiungo bora yupi ,leta takwimu hapa anazo assist ngapi?kafunga magoli mangapi?katengeneza nafasi ngapi? Kafanya dribling successful ngapi?kafanya tackling ngapi? Mchunguze huyo unayemtaja utuletee majibu,tukikutajia majina ya viungo bora tutapoteza muda maana haujui lolote
Angalia Azam wachambuzi wanavyo muongelea Mudathir kuwa hakuna kiungo anaweza kuziba nafasi yake sasa Wewe huna hata elimu ya mpira
 
Back
Top Bottom