rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Swali dogo la nyongeza, Yule PEPSI BIG a.k.a falcao wa chura amesajiliwa Kuitumikia timu Hiyo Kwa Miaka mingapi?? Analipwa shilingi ngapi??Kati ya sajili bora zilizowahi kufanywa Tanzania ni ya yule kiungo wa Simba toka Sudan, lakini cha kusikitisha inasemekana mkataaba wake ni wa mwaka mmoja. Hivi viongozi wa Simba wakati wanamsajili hawakuwa na uhakika na uwezo wake na kama hawakuwa na uhakika na uwezo wake nawashauri wampe mkataba mrefu zaidi mwishoe ataishia kuondoka kama mchezaji huru maana kwa kiwango chake ni wazi timu nyingi zitammezea mate
Hii ni ramli au utabiri?... Kama Shiboub anabahatisha basi kule Yanga kuna Fuso la uozo tupu.hana lolote mechi na azam alibahatisha ataflop muda si mrefu
Inasemekana yupo kwa mkopo wa mwaka 1.. posho yake sijui kama analipwa huyo.Swali dogo la nyongeza, Yule PEPSI BIG a.k.a falcao wa chura amesajiliwa Kuitumikia timu Hiyo Kwa Miaka mingapi?? Analipwa shilingi ngapi??
32 years oldinawezekana umri umemtupa mkono
Kagere, Nyoni, Bocco hawa wote sio vijana lakini wana mkataba wa miaka 2.inawezekana umri umemtupa mkono
pengne Shiboub ni mzee zaidi kuliko haoKagere, Nyoni, Bocco hawa wote sio vijana lakini wana mkataba wa miaka 2.
Nafikiri kama ni matakwa ya Shiboub sawa., tofauti na hapo aongezwe kandarasi
Yupi huyo au unamaanisha lile simtank?Swali dogo la nyongeza, Yule PEPSI BIG a.k.a falcao wa chura amesajiliwa Kuitumikia timu Hiyo Kwa Miaka mingapi?? Analipwa shilingi ngapi??
Sharaf Eldin Shiboub ana miaka 26pengne Shiboub ni mzee zaidi kuliko hao