Kwanini Msudan wa Simba SC amepewa mkataba wa mwaka mmoja

Hao akina Aggrey,Ngoma, Chirwa, Mudathri ni wageni hapo Azam?.. mbona wanafungwa hadi na Yanga mbovu.
Hizo timu 8 ambazo hazichezi First round CAF CL ni zipi? (zitaje)
 
Jamaa katokea Al-Hilal Acha kudanganya watu
 
Ni nani alizuia wasipangwe? Kama wao ni hatari si wangechukua ubingwa msimu uliopita?
 
Swali dogo la nyongeza, Yule PEPSI BIG a.k.a falcao wa chura amesajiliwa Kuitumikia timu Hiyo Kwa Miaka mingapi?? Analipwa shilingi ngapi??
Km wale wabrazil nao wamepewa miaka mingapi kwani?
 
Hao akina Aggrey,Ngoma, Chirwa, Mudathri ni wageni hapo Azam?.. mbona wanafungwa hadi na Yanga mbovu.
Hizo timu 8 ambazo hazichezi First round CAF CL ni zipi? (zitaje)
Jamaa akikujibu nitag watu wengine utafikiri wamekunywa maji ya choon
 
Wewe haujui chochote kuhusu club bingwa ila sio kosa lako ,Yanga hawajui club bingwa ni nini maana mnatolewa round ya kwanza na kwa taharifa yako club mbili tu ndio hazichezi mechi za awali Experence na Mazembe
 
Hayo majina ya wachezaji wa azam hawakucheza Azam alipokufa goli tatu taifa ,usijidanganye azam ataendelea kufungwa kwa goli tatu na kuendelea
 
Hayo majina ya wachezaji wa azam hawakucheza Azam alipokufa goli tatu taifa ,usijidanganye azam ataendelea kufungwa kwa goli tatu na kuendelea
Mudhari Yahaya Abass hakuwepo Simba mngepata tabu sana yule ndie kiungo bora hapa Tanzania sema waandishi wanaangalia yanga na simba tu
 
Mudhari Yahaya Abass hakuwepo Simba mngepata tabu sana yule ndie kiungo bora hapa Tanzania sema waandishi wanaangalia yanga na simba tu
Kiungo bora wa mwaka gani.?. huyu aliyekosa namba Azam akaenda mkopo singida utd.
Tatizo unasimuliwa hujui lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…