TheGreatest Of AllTime
JF-Expert Member
- Mar 14, 2025
- 207
- 679
Kuna namna unaishi inapelekea wale wajomba wanaokaa vijiweni na kwenye gahawa wanaanza kukujadili hadi kuja na conclusion kuwa wewe ni usalama wa taifa kumbe kijana wa watu hata bastola haujai kuiona live.
Unashangaa hata mtaani watu wanakuchukulia tofauti sana na hata ukienda mahala watu wanapiga stori unashangaa zinabadirika ghafla kuwa za simba na Yanga🤣
Unashangaa hata mtaani watu wanakuchukulia tofauti sana na hata ukienda mahala watu wanapiga stori unashangaa zinabadirika ghafla kuwa za simba na Yanga🤣