Ally Timbano
New Member
- Jul 31, 2015
- 1
- 1
fuata habar pete haikuhusu
Asante sana mkuu, bora ww umekuwa shuhuda kama mimi
Huku ni kukosa kazi
unaangalia habari au unamkagua mtu
Nimetazama Marudi ya Matukio ya wiki, huyu dada mtajwa anatangaza akiwa ameficha pete kwa vidole vya mkono mwingine. Kwanini?