Kwanini Mtangazaji Jaquline Silemu wa ITV anaficha Pete?

Kwanini Mtangazaji Jaquline Silemu wa ITV anaficha Pete?

Hili swali lingeelekezwa kwake moja kwa moja lingepata majibu pasi na shaka
 
Wrong perception..! Ni poz tu za TV presenters bhan kila mtu anakuwa na poz zake akiwa studio. any ways may be ana ktu cha ziada amejkuta anafanya.
 
Nimetazama Marudi ya Matukio ya wiki, huyu dada mtajwa anatangaza akiwa ameficha pete kwa vidole vya mkono mwingine. Kwanini?

Ni ufoonization a.k.a struggle for existence na biashara ni matangazo.over.
 
Back
Top Bottom