Kwanini Mtangazaji Jaquline Silemu wa ITV anaficha Pete?

mbona nimeiona hiyo pete sijui juzi katika habari
Kazi unayo rafiki mana pamoja na uzito wa habari,ukubwa wa kichwa kuliko kidole ,uzuri wake still ukamanage kuiona pete ,upele umemkuta mkunaji walinenaga zamani...swala la umbea kwako ni kama mechi inayochezwa uwanja wa nyumbani
 
mwanamke umbea...... maelezo mengi hata la maana uliloandika hakuna
 
Kwanza hajaolewa kazaa na mume wa mtu...pili alikuwa anapenda sana kuangalia video za pilau akiwa chuoni st augustine...tatu anatangaza utadhani anasuta watazamaji...
 
Mhuuuuu
Hii nayo kali, video za pilau?
 
Ka wewe mme wake? na kama ni mme wake si mmalizane uko nyumbani!!
 
Nimetazama Marudi ya Matukio ya wiki, huyu dada mtajwa anatangaza akiwa ameficha pete kwa vidole vya mkono mwingine. Kwanini?

Umbea umbea ndoa si yako yakuwashia nini?? Angalia yako ndo maana hamuendelei
 
Kwanza hajaolewa kazaa na mume wa mtu...pili alikuwa anapenda sana kuangalia video za pilau akiwa chuoni st augustine...tatu anatangaza utadhani anasuta watazamaji...

Mmh mkuu jack mbona amesoma udom
 
Back
Top Bottom