youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 443
Kazi unayo rafiki mana pamoja na uzito wa habari,ukubwa wa kichwa kuliko kidole ,uzuri wake still ukamanage kuiona pete ,upele umemkuta mkunaji walinenaga zamani...swala la umbea kwako ni kama mechi inayochezwa uwanja wa nyumbanimbona nimeiona hiyo pete sijui juzi katika habari