Kwanini Mtangazaji Jaquline Silemu wa ITV anaficha Pete?

Itakuwa ulimtongoza akakukatalia ndorooobo wewe
 
Huyo Dada ni mzuri kweli mm mwenyewe uwanamezea mate
 
Anapoongea mdomo wake huwa unacheza "wiggle wiggle"
 
Mleta mada kaileta kwa wema lkn wachangiaji jinsi tunavyochangia duuuu:smile-big:
  • :smile-big:




 
mm ndo mchepuk wke labd anaogpa ntaiona mana alinambia hana mchumba wala hajaolewa, kumb anayo pete duh, mpnz jack....kanidangnya kwel:::::
 
Nimetazama Marudi ya Matukio ya wiki, huyu dada mtajwa anatangaza akiwa ameficha pete kwa vidole vya mkono mwingine. Kwanini?
Kwasababu unamfatilia sana,jaribu kuacha umbea wako afu mtazame tena kwenye kideo chako..kumbuka mambo ya pete yako personal sana,Fanya yako mkuu.
 
Mleta uzi kuna kitu unataka kutuambia lakini ngoja nifuatilie homa ya UKAWA kuleee😀😀
 
WanajamviNaombeni tumpuuze lipumba
Wee utakuwa umetumwa so buree,siasa peleka kuleeee,huku tunadiri na celebritiez,Ila kiukweli Lipumba kazingua kinomanoma ,wazo zur kahamasishe wanasiasa wenzako,mumpuuze Pumba...
 
Mbona mwanzoni alimnadi Lowassa.. Uprofesa wake wa mashaka...huyo jacky hata akificha kwani Pete ni ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…