mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
hii kwel jamii forum
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume wambeya sana karne hii.
Cc: warumi.
Kwasababu unamfatilia sana,jaribu kuacha umbea wako afu mtazame tena kwenye kideo chako..kumbuka mambo ya pete yako personal sana,Fanya yako mkuu.Nimetazama Marudi ya Matukio ya wiki, huyu dada mtajwa anatangaza akiwa ameficha pete kwa vidole vya mkono mwingine. Kwanini?
wewe wasema..?!mm ndo mchepuk wke labd anaogpa ntaiona mana alinambia hana mchumba wala hajaolewa, kumb anayo pete duh, mpnz jack....kanidangnya kwel:::::
Nafikiri atakuwa ameamua kujiajiri,mana vijana wamesahaurika thana japo sijui kama inamlipaa..?!Wanaume wambeya sana karne hii.Cc: warumi.
Hiyo wiggle bila buttocks sipati picha vyenye huwa inakuwa..link tafadhariAnapoongea mdomo wake huwa unacheza "wiggle wiggle"
Sasa unasubiri nin..funguka akikuchomolea nje ,itabidi ujibebe..?!Huyo Dada ni mzuri kweli mm mwenyewe uwanamezea mate
Wanaume wambeya sana karne hii.
Cc: warumi.
Wee utakuwa umetumwa so buree,siasa peleka kuleeee,huku tunadiri na celebritiez,Ila kiukweli Lipumba kazingua kinomanoma ,wazo zur kahamasishe wanasiasa wenzako,mumpuuze Pumba...WanajamviNaombeni tumpuuze lipumba