youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 443
Kazi unayo rafiki mana pamoja na uzito wa habari,ukubwa wa kichwa kuliko kidole ,uzuri wake still ukamanage kuiona pete ,upele umemkuta mkunaji walinenaga zamani...swala la umbea kwako ni kama mechi inayochezwa uwanja wa nyumbanimbona nimeiona hiyo pete sijui juzi katika habari
Jamii kushanuka mana umbea SAA ivi una take over..?!..hii kwel jamii forum
Wanajamvi
Naombeni tumpuuze lipumba
Inanihusu ktk mahusiano mkuu
Kazi unayo rafiki mana pamoja na uzito wa habari,ukubwa wa kichwa kuliko kidole ,uzuri wake still ukamanage kuiona pete ,upele umemkuta mkunaji walinenaga zamani...swala la umbea kwako ni kama mechi inayochezwa uwanja wa nyumbani
Ni bora ukalime kijijini kwenu..kuliko kubaki unaongozwa na slogan dhaifu ktk maisha yako..?!mwanamke umbea...... maelezo mengi hata la maana uliloandika hakuna
Kwanza hajaolewa kazaa na mume wa mtu...pili alikuwa anapenda sana kuangalia video za pilau akiwa chuoni st augustine...tatu anatangaza utadhani anasuta watazamaji...
Kwani akifanya hiyo habari huzioni au habari ni pete
Nimetazama Marudi ya Matukio ya wiki, huyu dada mtajwa anatangaza akiwa ameficha pete kwa vidole vya mkono mwingine. Kwanini?
Hiyo wiggle bila buttocks sipati picha vyenye huwa inakuwa..link tafadhari
Kwanza hajaolewa kazaa na mume wa mtu...pili alikuwa anapenda sana kuangalia video za pilau akiwa chuoni st augustine...tatu anatangaza utadhani anasuta watazamaji...