Kwanini Mtu akikamatwa Ijumaa anapata dhamana Jumatatu? Hii imekaaje wasomi?

Kwanini Mtu akikamatwa Ijumaa anapata dhamana Jumatatu? Hii imekaaje wasomi?

Mr Lukwaro

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2023
Posts
359
Reaction score
629
Hivi dhamana si haki ya kikatiba?

Why Police officer on duty denied to bail person presumed innocent ?

Hii imekaaje, Wasomi reasoning ya kwamba ni weekend ina mashiko kweli?
 
Hivi dhamana si haki ya kikatiba?

Why Police officer on duty denied to bail person presumed innocent ?

Hii imekaaje, Wasomi reasoning ya kwamba ni weekend ina mashiko kweli?

Si katiba inesha sema hana hatia mpaka itakapo sibitishwa ?

Hivi hivo Vituo huwa havifunguliwi kabsa siku za weekend?

Inakuwaje Afisa wa police alie apa kuitumikia nchi yake na kuisimamia na kuilinda Katiba Ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, na yeye anashindwa kumpa mtu haki yake kisa Weekend?!!

Hili taifa lipoje jamani?
Si kweli labda huko kwenu Burundi. Dhamana ni wakati wowote na siku yoyote
 
Sijui kama hii iko kisheria, nahisi ni mikwara ya maafande kupiga pesa.

Kama ni kweli basi aliyetunga akili hii kichwani mwake hamnazo.
 
Back
Top Bottom