Hivi dhamana si haki ya kikatiba?
Why Police officer on duty denied to bail person presumed innocent ?
Hii imekaaje, Wasomi reasoning ya kwamba ni weekend ina mashiko kweli?
Si katiba inesha sema hana hatia mpaka itakapo sibitishwa ?
Hivi hivo Vituo huwa havifunguliwi kabsa siku za weekend?
Inakuwaje Afisa wa police alie apa kuitumikia nchi yake na kuisimamia na kuilinda Katiba Ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, na yeye anashindwa kumpa mtu haki yake kisa Weekend?!!
Hili taifa lipoje jamani?