Kwanini Mtu anapomaliza kupiga NYETO (Kujichua) anaanza kujutia kwa kitendo hicho?

nuporo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2018
Posts
1,534
Reaction score
3,387
Kwanini Mtu anapomaliza kupiga NYETO (Kujichua) anaanza kujutia kwa kitendo hicho?
Habari wadau tushirikishane suala hili kwanini inatokea hivyo?

Uzi huu isifutwe majibu ya hapa yatasaidia wasomaji na walio katika hali hii kwa muda mrefu au wanatamani waanze
 
Unajutia kwamba umepoteza nini, energy au sperm?, au hela au sabuni, ama kiganja kimeuma?
 
Kujutia baada ya kujichua inaweza kutokea kwa sababu ya hisia za hatia, tamaa ya kubadilisha tabia, au kutokana na imani za kidini au kitamaduni ambazo huona tendo hilo kama lisilofaa au la kimaadili.

ChatGPT
 
Je ukifanya uzinzi huwa haujutii?

Macho ya kuingia guest house na macho ya kutoka guest house unahisi yanafanana?

Maana yake ROHO huwa haipendi uchafu wa aina yoyote bali mwili ni dhaifu Sana.
Hapa naanza elewa
 
Back
Top Bottom