Chakubanga22
Member
- Nov 13, 2021
- 81
- 197
Well said [emoji122]Je ukifanya uzinzi huwa haujutii?
Macho ya kuingia guest house na macho ya kutoka guest house unahisi yanafanana?
Maana yake ROHO huwa haipendi uchafu wa aina yoyote bali mwili ni dhaifu Sana.