Kwanini mtu anastuka anapojambishwa ?

Kwanini mtu anastuka anapojambishwa ?

ifa96

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
466
Reaction score
255
Wakuu nimejarbu kuuliza na kutafakar wachojiskia baadh ya watu wanapojambishwa na kukosa majibu

Naomba wenye tatizo hilo watujuze tafadhal au kama kuna wanaojua chochote kuhusu hilo watujuze
 
Mkuu ifa96 hili tatizo kwenye family zetu lipo tena kwa sana tu cjui labda wanaojua humu jamvin watuambie ni nin tatizo na tiba zake
Cc MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:

Ana Tabia mbaya ya kujifanya yeye ni basha sio maradhi nitabia yake mbaya ifa96
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli sijakuelewa hata ....hebu rudi ufafanue
 
Kwa kweli sijakuelewa hata ....hebu rudi ufafanue
 
unajua kuna mtu alishawahi kusema watu wa pwani ya afrika ya mashariki wana mambo ya ajabu sana moja wapo ni hili.
Mengine kwa leo tuyasitiri isije onekana ni matusi
 
Kwanini Kiswahili umefeli namna hiyo? badala ya kupata japo C wewe umepata F kulikoni? bibie Dinazarde

Hata mi sijuii kwa ninii nilikua mtoro sana darasaniii, nieleweshee huyo kajambishwajee????
 
Last edited by a moderator:
Hata mi sijuii kwa ninii nilikua mtoro sana darasaniii, nieleweshee huyo kajambishwajee????
Watoto wa mjini huwa wanabana midomo kwa mikono na kutoa sauti ya prrrrrrrrrrrr basi hapo unakuta mtu anapata ganzi mwili mzima ,sanasana wale wenye mabusha
 
Watoto wa mjini huwa wanabana midomo kwa mikono na kutoa sauti ya prrrrrrrrrrrr basi hapo unakuta mtu anapata ganzi mwili mzima ,sanasana wale wenye mabusha

Ooooooo kumbeeeeeee
 
mankachara na Makamee huu ugonjwa mkubwa sana huko visiwani

ni ugonjwa wa urithi mkuu, kwa mfano kuna watu ukila kitu kikali wanakua wanaumia meno na huu ni ugonjwa sana inakua wa urithi, mtu ukimjambishia anakua anaumia mbavu ndio maana hua anajibinya na kujikunja
 
Last edited by a moderator:
Watu wanarithi mali hawarithi kuruka ukijambishwa kama ni kurithi basi anaweza mtu kurithi mambo ya ushoga? Mkuu mankachara Samahani kama nimekukwaza.
Hapana watu wengi wenye kuumia endapo utawajambishia, ukiulizia zaidi utaambia aidha baba ake au babu yake alikua na tabia hiyo, na vile vile unaweza ukasababisha ajali maana hata mtu kama anaendesha baiskeli ukimjambishia anaanguka chini, kwa hiyo hawafanyi kusudi hawa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom