Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana Tabia mbaya ya kujifanya yeye ni basha sio maradhi nitabia yake mbaya ifa96Wakuu nimejarbu kuuliza na kutafakar wachojiskia baadh ya watu wanapojambishwa na kukosa majibu
Naomba wenye tatizo hilo watujuze tafadhal au kama kuna wanaojua chochote kuhusu hilo watujuze
Kwanini Kiswahili umefeli namna hiyo? badala ya kupata japo C wewe umepata F kulikoni? bibie DinazardeSijaelewa MziziMkavu
Kiswahili nilipata F
Watoto wa mjini huwa wanabana midomo kwa mikono na kutoa sauti ya prrrrrrrrrrrr basi hapo unakuta mtu anapata ganzi mwili mzima ,sanasana wale wenye mabushaHata mi sijuii kwa ninii nilikua mtoro sana darasaniii, nieleweshee huyo kajambishwajee????
Watoto wa mjini huwa wanabana midomo kwa mikono na kutoa sauti ya prrrrrrrrrrrr basi hapo unakuta mtu anapata ganzi mwili mzima ,sanasana wale wenye mabusha
mankachara na Makamee huu ugonjwa mkubwa sana huko visiwani
yaani sijaelewa chochote kujambishwa ndio nini
Watoto wa mjini huwa wanabana midomo kwa mikono na kutoa sauti ya prrrrrrrrrrrr basi hapo unakuta mtu anapata ganzi mwili mzima ,sanasana wale wenye mabusha
Watu wanarithi mali hawarithi kuruka ukijambishwa kama ni kurithi basi anaweza mtu kurithi mambo ya ushoga? Mkuu mankachara Samahani kama nimekukwaza.
Sijaelewa MziziMkavu
Kiswahili nilipata F
Hapana watu wengi wenye kuumia endapo utawajambishia, ukiulizia zaidi utaambia aidha baba ake au babu yake alikua na tabia hiyo, na vile vile unaweza ukasababisha ajali maana hata mtu kama anaendesha baiskeli ukimjambishia anaanguka chini, kwa hiyo hawafanyi kusudi hawaWatu wanarithi mali hawarithi kuruka ukijambishwa kama ni kurithi basi anaweza mtu kurithi mambo ya ushoga? Mkuu mankachara Samahani kama nimekukwaza.