Kwanini mtu kilaza huwachukia vilaza wenzie?....

Kwanini mtu kilaza huwachukia vilaza wenzie?....

huwa nashangaa kumuona kilaza akiwachukia vilaza wenzie... Au mwizi anamchukia mwizi mwenzie mfano mwendanzake aliwachukia vilaza ila yule mzee alikuwa kilaza kwelikweli..
aidha, kwasababu huwa anaona wanajifanya kufanana naye, au anaona wamemzidi akili hivyo anaona wivu au pengine anaona aibu kufanana nao au anaamini wamemuambukiza ukilaza, au anajiona yupo bora kuliko vilaza wanaomzunguka.
 
huwa nashangaa kumuona kilaza akiwachukia vilaza wenzie... Au mwizi anamchukia mwizi mwenzie mfano mwendanzake aliwachukia vilaza ila yule mzee alikuwa kilaza kwelikweli..
Ni kama vile mtu masikini anavochukia wenzie
Mchepukaji anavochukia mwenzie akichepuka kama yeye!!

Hii ni kutokana na hali ya kujiona na hatia
 
Back
Top Bottom