Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena vyema mkuu, sijui amesikia ana lalamika kuwa ameachwa na mkewe?Yaani mkuu unakaa na kuja na mada kama hii, kweli middle class ya watanzania ni changamoto sana,huwezi jua labda hataki kuwa public figure, labda anaumwa,l abda ana pilika zake zingine, labda amesafiri ila ameamua kuwa out of press etc etc.
Yap, watu wa Pwani ndiyo wanafuata wake zao na ni aibu kubwa snMwanaume kumfata mwanamke ni wivu.ila mwanamke kumfata mwanaume ni upendo na wajibu.
Nimeshindwa kuthibisha hili...Lakini naona mantiki kwa kweli duh!Mwanaume kumfata mwanamke ni wivu.ila mwanamke kumfata mwanaume ni upendo na wajibu.
Hahhahaha nyie huko mtaa wa pili kumejaa unafiki wa kiwango cha stiegler gorge! Yani baba paroko anatafuna kondoo ila wewe mwenye mke huruhusiwi kubadili mbogaKuwa mwislamu Raha Sana, yaan jamaa ana mbunye za kutosha tuu yaan, Sisi kwetu unaitwa mzinzi na kanisan unatengwa , Ila wanaokutenga sasa wanapigana miti kisiri Siri. I wish I could be a Muslim in jiwe's voice.
sukuma gang hawana jipya maza kawapoteza mazimaMara nyingi viongozi wafanyapo state visits wanakuwa na wenza wao wa ndoa. Ziara ya Rais Samia ya siku 2 nchini Kenya imeonesha picha ya couples wakati wa state banquet, lakini kwa upande wa Tanzania pamepwaya. Je, kuna tatizo?
Endapo mume wa Rais Samia angeonekana, wakati Marais wanaongelea masuala ya nchi, wenza wao wangekuwa pamoja wakiwangoja wenza wao ambao ni Marais?
Mbona wewe hujaambatana na mume wako kuandika uzi huu!Mara nyingi viongozi wafanyapo state visits wanakuwa na wenza wao wa ndoa. Ziara ya Rais Samia ya siku 2 nchini Kenya imeonesha picha ya couples wakati wa state banquet, lakini kwa upande wa Tanzania pamepwaya. Je, kuna tatizo?
Endapo mume wa Rais Samia angeonekana, wakati Marais wanaongelea masuala ya nchi, wenza wao wangekuwa pamoja wakiwangoja wenza wao ambao ni Marais?
Kweli?Mwanaume kumfata mwanamke ni wivu.ila mwanamke kumfata mwanaume ni upendo na wajibu.
Mwaka 2021-2025 maswali ni mengi kuliko majibu.Mara nyingi viongozi wafanyapo state visits wanakuwa na wenza wao wa ndoa. Ziara ya Rais Samia ya siku 2 nchini Kenya imeonesha picha ya couples wakati wa state banquet, lakini kwa upande wa Tanzania pamepwaya. Je, kuna tatizo?
Endapo mume wa Rais Samia angeonekana, wakati Marais wanaongelea masuala ya nchi, wenza wao wangekuwa pamoja wakiwangoja wenza wao ambao ni Marais?
Anaambatana na Mkeo huko..Mara nyingi viongozi wafanyapo state visits wanakuwa na wenza wao wa ndoa. Ziara ya Rais Samia ya siku 2 nchini Kenya imeonesha picha ya couples wakati wa state banquet, lakini kwa upande wa Tanzania pamepwaya. Je, kuna tatizo?
Endapo mume wa Rais Samia angeonekana, wakati Marais wanaongelea masuala ya nchi, wenza wao wangekuwa pamoja wakiwangoja wenza wao ambao ni Marais?
Hakuna Ubaya wa hili swali, couples mara nyingi hucheza kwenye soft diplomatic issue. Mzee anakumbuswa na couple baadhi ya mambo muhimu asiya sahau.Yaani mkuu unakaa na kuja na mada kama hii, kweli middle class ya watanzania ni changamoto sana,huwezi jua labda hataki kuwa public figure, labda anaumwa,l abda ana pilika zake zingine, labda amesafiri ila ameamua kuwa out of press etc etc.
Mara nyingi viongozi wafanyapo state visits wanakuwa na wenza wao wa ndoa. Ziara ya Rais Samia ya siku 2 nchini Kenya imeonesha picha ya couples wakati wa state banquet, lakini kwa upande wa Tanzania pamepwaya. Je, kuna tatizo?
Endapo mume wa Rais Samia angeonekana, wakati Marais wanaongelea masuala ya nchi, wenza wao wangekuwa pamoja wakiwangoja wenza wao ambao ni Marais?
Wewe jamaa ni kiboko, eti unatengwa hah hahaKuwa mwislamu Raha Sana, yaan jamaa ana mbunye za kutosha tuu yaan, Sisi kwetu unaitwa mzinzi na kanisan unatengwa , Ila wanaokutenga sasa wanapigana miti kisiri Siri. I wish I could be a Muslim in jiwe's voice.
Kwanza country boy ana wake wengi.....anampa space mke mkubwa apige kazi.Mwanaume anayemfuata Mwanamke nyumanyuma hata watoto nyumbani wanamdharau sana.
Hongera Country Boy