Kwanini mume wa Rais Samia Suluhu hajaambatana na mkewe ziarani Kenya?

Inategemea siku alizojipangia kwa kila mke. Kama ni siku tatu kwa kila mke lazima iwe hivyo hairuhusiwi kumpunja mmoja wala kumuongezea mwingine kwa vyovyote vile. Hilo ni hitaji la kiimani na ni sehemu ya ibada hivyo hawezi kukiuka. Kama ingekuwa zamu ya mama angeweza kwenda naye safari lakini asipitishe siku za wengine.
Kwahiyo zamu ya sa100 ni lini
 
Mumewe ana wake watatu sasa huenda yuko kwenye zamu za wakeze wawili hawezi kukiuka utaratibu wa kiimani kwa kumpendelea huyu
Kwa hiyo mama ana share dudu na wake wenzake hatari sana hii, what if mmoja wao ana Chylamidia? So hata mama inawezekana kupata 😂
 
Wewe ambaye unajadili biashara kila kukicha una miliki billions ngapi kwa sasa, acha unafiki wewe dada wanaume hatuna roho za namna hiyo
 
Kuwa mwislamu Raha Sana, yaan jamaa ana mbunye za kutosha tuu yaan, Sisi kwetu unaitwa mzinzi na kanisan unatengwa , Ila wanaokutenga sasa wanapigana miti kisiri Siri. I wish I could be a Muslim in jiwe's voice.
Hama Mkuu wenzio tunafaidi na hakuna stress wala presha kabisa. Wanaume wenye wake wengi huwa hawafi mapema kama wenye Mke mmoja.
 
Afu aende aka ongee na mke wa kenyata au sii
 
Kwani sisi Rais wetu ni Mama Samia au Baba Samia? Tuna mambo mengi ya muhimu zaidi ya haya.
 
Kuwa mwislamu Raha Sana, yaan jamaa ana mbunye za kutosha tuu yaan, Sisi kwetu unaitwa mzinzi na kanisan unatengwa , Ila wanaokutenga sasa wanapigana miti kisiri Siri. I wish I could be a Muslim in jiwe's voice.
Just be where you wish to belong, kama sababu yenyewe ya kuutamani uislamu ni ulafi wa ngono hata waislamu hawatahitaji uwe mmoja kati yao, usitumie dini kama sababu ya kuhalalisha hitaji lako, yaani ni hivi, once wewe ni mpenda ngono utakuwa hivyo tu, ushauri anzisha dini yako kama yule nabii Tito...

Dini ina mambo mengine mengine hayatufarahishi kiubinadamu, mfano, je ukiachana na mke wako kwa talaka kadhaa, itabidi usubiri aolewe na mtu mwingine kwanza ndo uje umuoe tena.
 
Yaani kabisa umekuja na mada ya kutuulixa hii swali,m
 
Hayo ni yako mkuu, wala hayanihusu, na umejipendekeza Tu kunijibu....!! Tamaa ya ngono ni shart la hiari na sio dhambi madam iwe halali, Kuwa wake wanne au mmoja just your choice ..usnitishe na dini yako mandazi hyo boss
 
Acha kufatilia vitu personal

Ova
 
Kuwa mwislamu Raha Sana, yaan jamaa ana mbunye za kutosha tuu yaan, Sisi kwetu unaitwa mzinzi na kanisan unatengwa , Ila wanaokutenga sasa wanapigana miti kisiri Siri. I wish I could be a Muslim in jiwe's voice.
Wee jamaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…