PostGE2025 Kwanini mumeweka PM anayejitetea mwenyewe badala ya Wananchi? Hadi sasa hatuelewi yuko kwa ajili ya nini

PostGE2025 Kwanini mumeweka PM anayejitetea mwenyewe badala ya Wananchi? Hadi sasa hatuelewi yuko kwa ajili ya nini

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
8,403
Reaction score
11,912
PM - Waziri mkuu ndio dila ya serikali, ndie anasimamia shughuli zote za serikali.

Tunachokiona huku uraiani ni kwamba, kuchomwa moto kwa Ester kumemvuruga sana, Japo yeye ameyakana

PM anajitetea sana kuliko uharisia. Wananchi hatujui nani wa kututoa hapa tulipo.

Sisi wananchi hatujui dila ya serikali nzima ya awamu hii. Hata tukiamuka kwenda kwenye mishemishe, tunaona tuko kama hatuna uongozi nchini.

PM ameshajaa kwenye mfumo wa wahuni na muda si mrefu anaingia kwenye denialism na hapo ndipo kazi ya serikali itakuwa ngumu.

Kwa nini mumeweka PM pro CCM sana na analinda sana ugali wake. Tangu akiwa Waziri wa Fedha huwa anaongea ongea tu yasio eleweka.

PM apewe seminar na Majaliwa na Warioba la sivyo hakuna kitu hapo.
 
Novena ya wakatoliki inaendelea na manifestation of evil spirit
 
Back
Top Bottom