Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kati ya story za Mungu wa Biblia zenye utata ni ya kuikataa sadaka ya Kaini ya mazao kisha akaikubali sadaka ya wanyama wa Abeli/Habili. Huwa zinasemwa tu nadharia mbalimbali kuhusu sadaka yake kukataliwa lakini bado haziwi bayana kulingana na bibla sababu hasa ilikuwa ni nini.
Kwa wajuzi, ni sababu gani hasa zilipelekea sadaka ya Kaini kukataliwa na Mungu?
Kwa wajuzi, ni sababu gani hasa zilipelekea sadaka ya Kaini kukataliwa na Mungu?