Mimi si mdhiolojia hivyo jibu langu linaweza halijakamilika:Sadaka ya Abeli ilitolewa kwa moyo wa kupenda(Nyama zilizonona) wakati Kaini alitoa sadaka ya mazao yasiyokamilika.Tunajuaje kuwa mazao hayakufaa? Ni wakati Mungu alivyomwuliza je ukifanya vema huwezi kupata kibali?Kati ya story za Mungu wa Biblia zenye utata ni ya kuikataa sadaka ya Kaini ya mazao kisha akaikubali sadaka ya wanyama wa Abeli/Habili.
Kwa wajuzi, ni sababu gani hasa zilipelekea sadaka ya Kaini kukataliwa na Mungu?
Kwanini Mungu aliyejitosheleza kwa kila kitu ahitaji sadaka?Mimi si mdhiolojia hivyo jibu langu linaweza halijakamilika:Sadaka ya Abeli ilitolewa kwa moyo wa kupenda(Nyama zilizonona) wakati Kaini alitoa sadaka ya mazao yasiyokamilika.Tunajuaje kuwa mazao hayakufaa? Ni wakati Mungu alivyomwuliza je ukifanya vema huwezi kupata kibali?
Na asipo pewa ana nunaKwanini Mungu aliyejitosheleza kwa kila kitu ahitaji sadaka?
Kutoa sadaka Ni ishara ya kuonyesha Utii, upendo na ukarimu.Kwanini Mungu aliyejitosheleza kwa kila kitu ahitaji sadaka?
I wonderNa asipo pewa ana nuna
Vitabu vya dini vinatuambia tujifunze kuridhika na tunachopewa.Kutoa sadaka Ni ishara ya kuonyesha Utii, upendo na ukarimu.
Mungu hapungukiwi na chochote.
Bali anataka wanadamu wamtii.
Hata kwenye mapenz tu ya leo kati ya mwanamke na Mwanamme, Neno "Nakupenda" lazima liambatane na ishara ya Matendo.
Vitabu vya dini vinatuambia tujifunze kuridhika na tunachopewa.
Vitabu vya dini vinatufundisha kushukuru kwa yote
Lakini kwanini Mungu hakuridhika na alichopewa na Kaini?
Kwanini Mungu hakuwa na shukrani kwa kile kidogo ambacho Kaini alimletea?
Hii inaongeza maswali mengi zaidi.
Ikiwa tu Mungu haridhiki na offa anazopewa na watu, vipi mimi niridhike na buku aliyoniruzuku wakati nawaona wengine kawapa mabilioni, wanamiliki maghorofa hadi juu ya maji?
Namimi nilisahau kuongezea.Nilisahau kuongezea.
Tumefundishwa hivi.
Mungu anaangalia dhamira ya kweli ndan ya moyo wako.
Ina maana hata ukitoa sadaka kubwa au ndogo. Kama moyo wako unasononeka , una mashaka au kama ni mtu hauna haki.
Mungu haesabii haki ile sadaka.
Kumbuka sadaka sio ni kuwa Mungu anakula au anataka hela na mazao.
Bali ni ishara kuonyesha utii , upendo na unyenyekevu mbele yake.
Kuna msemo unasema.
"Hazina yako ilipo ndio moyo wako ulipo".
Ukitoa hazina yako kwa Mungu, bas na moyo wako utakuwa umemkubali Mungu.
Maneno yanaenda na Vitendo.
Kwani Tusipomtii anapungukiwa na nini?Kutoa sadaka Ni ishara ya kuonyesha Utii, upendo na ukarimu.
Mungu hapungukiwi na chochote.
Bali anataka wanadamu wamtii.
Hata kwenye mapenz tu ya leo kati ya mwanamke na Mwanamme, Neno "Nakupenda" lazima liambatane na ishara ya Matendo.