Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,611
- 2,881
2-Hatatuchoma milele na milele, MUNGU sio mkatili ki hivo atatuchoma na kuteketeza dhambi, ziki isha kazi ya moto imemalizika na dunia itachipuka upya pasina dhambi.2)Mungu atavumiliaje kuona sisi binadamu tukiwa kwenye maumivu ya kuchomeka milele na milele? ikiwa mimi mwenye dhambi siwezi vumilia kuona adui yangu akiteseka kwa mda mrefu sana?
3)Asingetuumba kuna mtu angemuuliza kwanini hajatuumba wakati yeye ni muweza wa yote?
4)Mahubiri, na vitabu vya Mungu, na shuhuda za mbinguni walipo watenda mema, na kuzimu wanakoteseka waliokufa kwenye dhambi, vikituambia sisi tulio hai kuhusu moto wa milele, ili tuache dhambi tuokolewe, je tukiwa wacha Mungu, uhusiano wetu sisi binadamu na Mungu utakuwa ni wa kweli unaotoka moyoni? au ni uhusiano utakaozaliwa kutokana na hofu, yani unamtumikia Mungu ili usiende motoni, ingawa kiuhalisia adhabu ya moto isingekuepo, ungeendelea kufurahia dhambi na kuacha kusali.
4- Ukimcha MUNGU kwa kuogopa adhabu ya moto hutoboi mkuu, mpende kwanza, then kumcha kutakuja automatically, ndo maana anasema
Ndo maana anasema mkinipenda mimi mtazishika amri zangu,
wala nira yangu sio nzito na mzigo wangu ni mwepesi, .....kwa maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo.
So mkuu, shetani anatufanye tuone maisha ya Anasa ndio maisha while hata kama kusingekua na moto, mwisho wa anasa ni majuto matupu mkuu.