Kwanini Mungu anaitwa Mungu na hakuitwa jina lingine? Kama Shetani ni mharibifu kwanini aliachwa hai?

Msiogope waangamizao mwili wasiweze kuiagamiza roho, Bali mwogopeni awezaye kuiangamiza roho pamoja na mwili.

Ni maneno ya MUNGU mwenyewe.

Sasa kwanini useme roho haiwezi kufa ikizaliwa wakti Yupo awezaye kuiangamiza?
Maneno ya Mungu umeyaskia au umesoma hadithi
 
Hakuna mtu anaongea na Mungu live.

Labda ndotoni (aoteshwe ndoto) tena kupitia malaika na siyo Mungu mwenyewe.

Na kwenye hili la kuoteshwa pia wengi watupiga sana (wanatudanganya)
Mtu akiota ndoto anaota mawazo yake hamna kitu Kama kuoteshwa. Haya mambo ndo watu walipigwa huko uarabuni na dini ikaanza
 
Mtoto wangu (5) aliwahi niuliza ... Hivi baba Kwa Nini Mungu anamwacha Shetani atutese! Si angemmaliza tuu!? Tafakuri nzuri sana!
 
Mtoto wangu (5) aliwahi niuliza ... Hivi baba Kwa Nini Mungu anamwacha Shetani atutese! Si angemmaliza tuu!? Tafakuri nzuri sana!
Mtoto aliweza kupima logic kwa uhuru na uweledi wa juu, bahati mbaya huenda alipatiwa maneno ya kimahubiri ili ayashikilie.

Sifahamu ulimpatia majibu yapi mkuu.
 
Ruwa Mangi; Aliye mkuu kuliko Mangi na asiyeonekana na anaishi mawinguni mwenye uwezo wote
 
Thread closed.....
 
Mungu ni Jina la Title, ni kama kusema Mfalme, bt mfalme ana jina.

Mungu ni MMOJA,

Mungu analo Jina, Jina tulilopewa WANADAMU litupasalo kuokolewa kwalo!!

Jina Hilo ni YESU KRISTO.

Mungu ni MMOJA, na YESU ndilo JINA lake.

Amen.
 
Kwahyo Yesu ni Mungu?
 
Kwahyo Mungu alitemewa mate msalabani na kiumbe chake?
Ndo huyo huyo aliyeiumba Mbingu na Nchi,

Hata sasa tunavyoongea ndiye aketike kwenye KITI Cha Enzi yote.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen.
 
Ndo huyo huyo aliyeiumba Mbingu na Nchi,

Hata sasa tunavyoongea ndiye aketike kwenye KITI Cha Enzi yote.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen.
Hadithi ya Mungu huyo haina logic.

Hivyo ni ya uongo
 
Mungu ni Jina la Title, ni kama kusema Mfalme, bt mfalme ana jina.

Mungu ni MMOJA,

Mungu analo Jina, Jina tulilopewa WANADAMU litupasalo kuokolewa kwalo!!

Jina Hilo ni YESU KRISTO.

Mungu ni MMOJA, na YESU ndilo JINA lake.

Amen.
Kwa Nini Mungu ni mmoja na ni Yesu kristo. So waislamu Wana poteza mda au
 
Kwa Nini Mungu ni mmoja na ni Yesu kristo. So waislamu Wana poteza mda au
Mungu ni MMOJA, wengine wote ni miungu mfano budha, allahu, kuzimu pia Ina mungu wake anaitwa Ibilisi na shetani nk.nk.

Waislamu wanamwita ISSA, ndiye Ishara ya kiyama kwao. Bila Yesu hakuna Mbingu Wala Pepo ni moto wa Jehanum wanausubiri.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen
 
Budha hajawahi jiita Mungu acha uwongo. Fuatilia dini za wenzako ukristo sio dini ya kwanza na sio ya mwisho, how do u know ni dini ya ukweli na ni ya Mungu wa ukweli na wengine ni wa uwongo
 
Nyie ni watu wabaya sana.

Mnajijua nyie tu.

Yaani watu wa dini mnataka chenu tu mlichoambiwa na sio kuskiliza cha wengine.

Mko tyari hata kuuwana kisa tu ulichojazwa upande wa imani yako.

Hvi unahabari kuwa huyo Yesu (mungu wako) nae anajumuishwa /anaitwa ni miungu kwenye imani za dini nyingine kama wewe ulivyowaita ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…